uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Juzi kulikwa na game za maandalizi na msimu mpya wa ligi mbali mbali duniani
Na club ya alnasri ipo barani ulaya kwa mechi mbali mbali
Sasa juzi walicheza na benifica wakapoteza kwa 4-1
Icho sio kitu cha ajabu kufungwa kwasababu alnasri ni timu ya kawaida
Kitu cha ajabu ni bwana mkubwa kukataliwa na mashabki kwani karibu uwanja ulikuwa empty seats ni mashabiki wachache tu waluojitokeza
Hiyo haitoshi hata mechi mtawalia dhidi ya celta vigo ilikosa mashabiki viti vingi vilikuwa wazi
Kwanini ronaldo haheshimiki tena! Kutoka kuwa mchezaji kipenzi cha mabinti na wapenda soka to most hated athletic why?
Ile michezo anayofanyiwa ronaldo imempa nuksi inawezekana