Pretty za shigongo mbaya sana zina uongo mwiiiiiiiiiingi sijui anazitoa wapi aisee ..zina vitu visivyosadikika kabisa labda ajaribu kupunguza na kuweka uhalisia
.....Shigongo siku hizi ndio kaharibu, nakumbuka siku za mwanzoni alikuwa ana hadithi nzuri. Kuna ile hadithi ya siku za mwisho wa uhai wangu..........ilikuwa nzuri atiiii!! Lakini siku hizi ovyo tu, nilishaachaga hata kusoma hadithi zake.
......Mwanakijiji hii hadithi umeitunga mwenyewe?
MM hadithi yako ni nzuri sana! nilipoiona niliona ni ndefu ikaanza kunikatisha tamaa. Nilipoanza kusoma, kila nikimaliza sentensi moja nyingine inaita! nimesoma mfululizo hadi kumaliza kwa muda mfupi tu. BIG UP MM!
Ni somo pia kwetu - hivi nampelekea "jamaa home" asome naamini ataambulia somo japo kidogo!
.....Shigongo siku hizi ndio kaharibu, nakumbuka siku za mwanzoni alikuwa ana hadithi nzuri. Kuna ile hadithi ya siku za mwisho wa uhai wangu..........ilikuwa nzuri atiiii!! Lakini siku hizi ovyo tu, nilishaachaga hata kusoma hadithi zake.
jukwaa la mapenzi limeingiliwa! Mzee M, wewe ni kichwa sana! Big up!
teh teh teh ni kiraka!HAHAHA mie namkumbuka huyu kuna web moja miaka kadhaa iliyopita tulikuwa naye katika jukwaa moja na hadithi zake zilikuwa balaa
big up sana ...sijui kijana /mzee ?
Yah,mi ni msomi mzuri sana wa hadithi,na mpaka sasa kuna watunzi ambao nimekuwa nikiwaheshimu sana kwa riwaya zao kama BEN MTOBWA(R.I.P) na vitabu vyake kama tutarudi na roho zetu,najisikia kuua tena,nyuma ya pazia,mtambo wa mauti,Salamu kutoka kuzimu;MUSIBA na kisasi,hofu,gongo la chuma,njama,HUSSEIN TUWA na mkimbizi,mtuhumiwa,mdunguaji.Hao jamaa ukisoma vitabu vyao lazima mwili usisimke,vinatia hari ya mapinduzi,moyo wa uzalendo,moyo wa kuipenda nchi yako.Niliumia sana alivyofariki Mtobwa maana nilijua wanaisha na hawaibuki wengine,lakini nilifarijika nilivyoanza kuviona vitabu vya Hussein Tuwa.Ukiangali makala nyingi sana za MWANAKIJIJI utaona ni jinsi gani alivyo na moyo wa kizalendo,nimesoma hadithi yake hiyo juu pamoja ni ya mapenzi lakini waweza kuona utaalamu na umahili wake unaopelekea kumfanya msomaji asikiweke chini kitabu na asahau mambo mengine.Mi nadhani kwa Ushauri wangu kwa Mwanakijiji atunge vitabu vingi vitakavyolenga kumpa hari kijana yeyote wa kitanzania achukie Rushwa,apende nchi yake,Awe tayari kufa kwa nchi yake na aviingize sokono kwa wingi.Nasema hivi cuz mimi ni zao la vitabu hivi vya akina Mtobwa,namshukuru uncle wangu kwa kuniletea vitabu hivi tangu nikiwa la kwanza(cuz they made me who i am now).
yah ni kweli,nilikosea mkuu ni kwenye njama ndo kuna kundi la maharamia lililokuwa likijiita gongo la chuma.Mmmh! Vitabu vya Musiba vyote nimevisoma. Hicho cha Gongo la Chuma sijawahi hata kukisikia! Una uhakika ni cha Musiba nikakitafute sasa hivi ninapokwenda lanchi?
Jamani mi pia hicho cha gongo la chuma ndo nakisikia
Yah,mi ni msomi mzuri sana wa hadithi,na mpaka sasa kuna watunzi ambao nimekuwa nikiwaheshimu sana kwa riwaya zao kama BEN MTOBWA(R.I.P) na vitabu vyake kama tutarudi na roho zetu,najisikia kuua tena,nyuma ya pazia,mtambo wa mauti,Salamu kutoka kuzimu;MUSIBA na kisasi,hofu,gongo la chuma,njama,HUSSEIN TUWA na mkimbizi,mtuhumiwa,mdunguaji.Hao jamaa ukisoma vitabu vyao lazima mwili usisimke,vinatia hari ya mapinduzi,moyo wa uzalendo,moyo wa kuipenda nchi yako.Niliumia sana alivyofariki Mtobwa maana nilijua wanaisha na hawaibuki wengine,lakini nilifarijika nilivyoanza kuviona vitabu vya Hussein Tuwa.Ukiangali makala nyingi sana za MWANAKIJIJI utaona ni jinsi gani alivyo na moyo wa kizalendo,nimesoma hadithi yake hiyo juu pamoja ni ya mapenzi lakini waweza kuona utaalamu na umahili wake unaopelekea kumfanya msomaji asikiweke chini kitabu na asahau mambo mengine.Mi nadhani kwa Ushauri wangu kwa Mwanakijiji atunge vitabu vingi vitakavyolenga kumpa hari kijana yeyote wa kitanzania achukie Rushwa,apende nchi yake,Awe tayari kufa kwa nchi yake na aviingize sokono kwa wingi.Nasema hivi cuz mimi ni zao la vitabu hivi vya akina Mtobwa,namshukuru uncle wangu kwa kuniletea vitabu hivi tangu nikiwa la kwanza(cuz they made me who i am now).
A, B, C, D zilikuwa zimezidi sana kwenye jukwaa hilijukwaa la mapenzi limeingiliwa! Mzee M, wewe ni kichwa sana! Big up!