sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
Ukweli usiopingika kuwa jana, aliekuwa mwenyekiti wa tume ya katiba mpya ndg Jaji Sinde Warioba made an extraordinary presentation ambayo ilikuwa more than just a speech to the member of constitutional assembly but rather a lifetime lecture to tanzanians. Ukweli ni kwamba "the damage was done" yesterday. Nimemsikiliza, nimesoma tena ile speech nkajiuliza maswali mengi.moja wapo nikaenda kuangalia wajumbe wa katiba mpya ni akina nani? Nikafuatilia CV zao, nikafuatilia maoni ya watu mitandaoni. Pia nikaangalia kwenye tume ya katiba idadi ya wanaTANU,wanaASP, wanaCCM, nikaangalia wanaCHADEMA na vyma vingine. Nkaangalia wasomi na wengine wenye hadhi tofauti nchini, nimeanglia umri, makabila yao, dini zao nikaenda mbali na kuangalia hat historia ya waliowahi kuyafanya katika career zao.
Nimefanya hivi kuangalia kama katika hiyo tume kama pana uwezekano wa kupenyeza ajenda ya siri. Nimejaribu kufuatilia wanaowabeza akina warioba wao wamefanya nini, na wana uzalendo upi, au wao ni ccm wa aina gan kumzidi warioba au ni chadema gan kumzidi Baregu au ni nccr gan kumzidi Mvungi (RIP). Au ni wasomi gani kumzidi Paramagamba Kabudi, au wana heshma gan kwenye jaamii kumzidi Salimu Ahmed salim, au wana unyeyekevu gan kumzidi Agustino Ramadhan au wao wanaguswaje na walemavu kumzidi Al-shymaa kwagyir au wana historia gani ya hii nchi kumzid mzee Butiku.
Sijaweza kuwajua wote lakini watu ambao wanaonekana kuwa ni wazalendo wa hili taifa ni
Ole Sendeka
January Makamba
Willium Malecela
Stivin Masatu wasila
Ummy Mwalimu
Livingston Lusinde
Jaji Werema
Poul Makonda
Samweli sitta (huyu ni flexible)
Mtela Mwampamba
Et al..
Kikwete hakuna anachokizuia so far, ila kupatikana kwa katiba is not something he can push it bila kurudi CCM, so kila anachosema siwezi kumhukum nacho.
Ukweli ni kwamba ingekuwa ni kazi ngumu kupenyesha ajenda binafsi kwenye swala la rasimu ya katiba ukiangalia makundi ya wajumbe na uwezo wa kila mmoja.
Ushauri
Ccm itafute watu wenye huge reputation, ability ya kujibu hoja kuliko kuendelea kuwatumia akina Sendeka, January makamba, wasirra na Ummy Mwalimu. Ikiwezekana wawatumie watu kama Tundu Lissu, lipumba na mbatia. Huwezi kutumia watu wale wale, mbinu zile zile kubadili darasa lililotolewa jana.
Sixgates naipenda serikali moja,nchi moja.