Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua kuwa Tanzania inaelekea pabaya. The burden is too heavy for JK, nchi hii ni nzito sana. Inatakiwa mambo ya urafiki na nepotism yasiwepo ili aweze kuwa effective. wanachosema Salim na Warioba kimesemwa hapa JF toka miaka mitatu iliyopita. Serikali ya JK haiwezi kupambana na rushwa wakati wengi wa walioko madarakani waliingia kwa style hiyo.
Viongozi wakuu wa serikali wametangaza wazi kuwa wanaogopa kupambana na wezi wa EPA, Kagoda nk, they have openly confirmed to us that they are incapable of dealing with them. Kuna aliyesema kuwa wakishughulikiwa nchi itakuwa haitawaliki, kuna aliyesema kuwa ni wajanja kuliko serikali. Can you believe it? Unawapa udhibiti wa dola na sheria then wanasema they can not do it?
It is up to us to decide kama we need them in 2010. Kama "waafrika ndivyo tulivyo" basi we will see them again in 2010. Lakini twajua kuwa it will be another 5 years of wastage of time and deterioration if not stagnation.
kama Salim na Warioba wameamua kusema wazi then, it is obvious kuwa kilichokuwa kinasemwa hapa kijiweni for four years kilikuwa ukweli mtupu, na hata kinachotabiriwa hapa ni ukweli pia.