WARIOBA asema kweli - Hakuna atakayeweza kumfunga Paka kengele

Kwa Afrika Mashariki, Tanzania ndio kuna ujinga mwingi kwa raia wake kuliko sehemu yoyote ile.
 
AHSANTE
 

Hivi msimu wa Kilimo umepita?
 
Magufuli katuchukua mateka ila anguko lake litakuwa la ghafla sana
 
Yeye na msekwa lawama haziwaachi Kama ndo msingi wa katiba mbovu ya kuzalisha pakapori
 
Kwa Afrika Mashariki, Tanzania ndio kuna ujinga mwingi kwa raia wake kuliko sehemu yoyote ile.
Mbumbumbu wengi kuliko nchi nyingine za A.Mashariki.Nashida no mifumo mibovu tangu ya uhabarishaji na ile rasmi ya uelimishaji.
 
Mtu mwenyewe wa kumsikiliza ni Waziri mkuu mstaafu Warioba? Alifanya nini alipokuwa Waziri Mkuu? Mwacheni ale pension yake maana ni aibu tupu aliyokuwa anafanya wakati wake tena kwa kubwebwa na mbeleko.
 
Magufuli na hasa hii CCM ya Magufuli ndiyo inaipeleka Tanzania shimoni.
Something must be done to change things.......!??
 
Aendelee kula pension,aachane na haya mambo,wastaafu walishaambiwa waache kuwashwa washwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…