Informer JF-Expert Member Joined Jul 29, 2006 Posts 1,606 Reaction score 6,672 Mar 17, 2014 #1 Wakuu, Warioba atawasilisha Rasimu ya Katiba mbele ua Bunge kwa masaa 4 kesho kuanzia SAA 3-7 mchana. JK atafuatia baadae. More info to follow
Wakuu, Warioba atawasilisha Rasimu ya Katiba mbele ua Bunge kwa masaa 4 kesho kuanzia SAA 3-7 mchana. JK atafuatia baadae. More info to follow
C Chikaka Sumuni JF-Expert Member Joined May 16, 2013 Posts 1,337 Reaction score 773 Mar 17, 2014 #2 Suala si muda wa masaa 4 suala ni Kanuni,
Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Mar 17, 2014 #3 khe! Kama ni hivyo, sasa waligomea nn?
respect wa boda JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 4,556 Reaction score 3,842 Mar 17, 2014 #4 Informer said: Wakuu, Warioba atawasilisha Rasimu ya Katiba mbele ua Bunge kwa masaa 4 kesho kuanzia SAA 3-7 mchana. JK atafuatia baadae. More info to follow Click to expand... Hizo taarifa umezitoa wapi mkuu hata hivyo suala la muda sidhani kama linatatizo sana tatizo liko kwenye kanuni kuheshimiwa na hawa maccm Aanze mwenyekiti wao wa chama kisha afuate Jaj Warioba. period
Informer said: Wakuu, Warioba atawasilisha Rasimu ya Katiba mbele ua Bunge kwa masaa 4 kesho kuanzia SAA 3-7 mchana. JK atafuatia baadae. More info to follow Click to expand... Hizo taarifa umezitoa wapi mkuu hata hivyo suala la muda sidhani kama linatatizo sana tatizo liko kwenye kanuni kuheshimiwa na hawa maccm Aanze mwenyekiti wao wa chama kisha afuate Jaj Warioba. period
M mburi Member Joined Mar 11, 2014 Posts 73 Reaction score 13 Mar 17, 2014 #5 Kanuni zifuatwe! Si walipitisha wenyewe. Aanze JK!!
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,246 Mar 18, 2014 #6 Swala ni kanuni zifuatwe!!!!
N Ninaweza JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 13,095 Reaction score 8,284 Mar 18, 2014 #7 Kwani kilicho gomba ni muda wa presentation kuwa mchache au kanuni kutokuzingatiwa? Wapinzani wakikubali hilo, wanabatilisha walicho kigomea jana! Btw baba rizi ana kazi gani za kumfanya ashindwe kulifungua bunge?
Kwani kilicho gomba ni muda wa presentation kuwa mchache au kanuni kutokuzingatiwa? Wapinzani wakikubali hilo, wanabatilisha walicho kigomea jana! Btw baba rizi ana kazi gani za kumfanya ashindwe kulifungua bunge?
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,673 Reaction score 1,875 Mar 18, 2014 #8 Credible source please!