Warioba kuhutubia Bunge kwa masaa 4 kesho

Warioba kuhutubia Bunge kwa masaa 4 kesho

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Wakuu,

Warioba atawasilisha Rasimu ya Katiba mbele ua Bunge kwa masaa 4 kesho kuanzia SAA 3-7 mchana.

JK atafuatia baadae.

More info to follow
 
Wakuu,

Warioba atawasilisha Rasimu ya Katiba mbele ua Bunge kwa masaa 4 kesho kuanzia SAA 3-7 mchana.

JK atafuatia baadae.

More info to follow

Hizo taarifa umezitoa wapi mkuu hata hivyo suala la muda sidhani kama linatatizo sana tatizo liko kwenye kanuni kuheshimiwa na hawa maccm

Aanze mwenyekiti wao wa chama kisha afuate Jaj Warioba. period
 
Kwani kilicho gomba ni muda wa presentation kuwa mchache au kanuni kutokuzingatiwa? Wapinzani wakikubali hilo, wanabatilisha walicho kigomea jana! Btw baba rizi ana kazi gani za kumfanya ashindwe kulifungua bunge?
 
Back
Top Bottom