Warioba: Kura ya maoni Aprili ndoto

Warioba: Kura ya maoni Aprili ndoto

Hivi Kati ya wanaokula na wewe umo? Au wewe unaliwa? Unawajua wanaokula? Jiulize ndugu.
Wote walioisoma vizuri Katiba inayopendekezwa watakubaliana na mimi kuwa ingefaa tuipitishe hata leo ili tuanze kufaidi matunda yake.
 
Watabadili tu tarehe ili kukidhi hayo matakwa ya siku...inaweza kufanyika may 2015
Kweli wanao uwezo wa kubadili lakini kumbuka ile ni sheria na process za kubadili kifungu cha sheria zinajulikana ni mpaka upelekwe muswada bungeni na uungwe mkono, sijui watafanya hivyo kwa kikao gani cha bunge.
 
Wote walioisoma vizuri Katiba inayopendekezwa watakubaliana na mimi kuwa ingefaa tuipitishe hata leo ili tuanze kufaidi matunda yake.

Unatumia vigezo gani kusema hilo?Tukubali ukweli katiba haijakaa vizuri,
 
Kweli wanao uwezo wa kubadili lakini kumbuka ile ni sheria na process za kubadili kifungu cha sheria zinajulikana ni mpaka upelekwe muswada bungeni na uungwe mkono, sijui watafanya hivyo kwa kikao gani cha bunge.

Kwani hata wasipoenda kubadili bungeni wakabadili tu huku mtaani watafanywa nini? Nothing will happen.

They can do anything
 
Kwani hata wasipoenda kubadili bungeni wakabadili tu huku mtaani watafanywa nini? Nothing will happen.

They can do anything
Mkuu sheria ibadilishwe mitaani?

Kwa nchi isiyokuwa na serikali kama Somalia inawezekana, ila kwa vile nchi yetu inadharau utawala wa sheria (rule of law) tunaweza ku practice utawala wa Somalia kwa kutungia sheria mitaani.
 
Wote walioisoma vizuri Katiba inayopendekezwa watakubaliana na mimi kuwa ingefaa tuipitishe hata leo ili tuanze kufaidi matunda yake.

Matunda ya kuendelea kuiba raslimali za TAIFA?Haya aliyeandika ameshajiita NYOKA mwenye makengeza,kuiba kwake siyo tatizo ilimradi amepiga pesa.................
 
Mkuu sheria ibadilishwe mitaani?

Kwa nchi isiyokuwa na serikali kama Somalia inawezekana, ila kwa vile nchi yetu inadharau utawala wa sheria (rule of law) tunaweza ku practice utawala wa Somalia kwa kutungia sheria mitaani.

Mkuu...nakuhakikishia....watafanya hivyo and nothing will happen
 
kata yetu imepokea nakala 900 zinazogawiwa kwa makundi mbalimbali

Kata yako itakuwa ndio iliochapisha nakala za katiba iliyopendekezwa, na imejipendelea katika mgao na kupata zaidi ya 15%! Ilitangazwa hapo awali na tume ya uchaguzi kuwa zimechapwa nakala laki 7(700,000) na zitagawiwa nchi nzima!
 
naona ccm walidharau ushauri wa baba mdogo wa taifa wakaishia kumtukana sasa yatawatokea puani!
 
If you read between lines, Mh. Warioba yupo sahihi. "FUNIKA KOMBE......"
 
Kata yako itakuwa ndio iliochapisha nakala za katiba iliyopendekezwa, na imejipendelea katika mgao na kupata zaidi ya 15%! Ilitangazwa hapo awali na tume ya uchaguzi kuwa zimechapwa nakala laki 7(700,000) na zitagawiwa nchi nzima!
Jamaa naweza.kusema.muongo kwa nakala.zilizochapwa haiwezekani kata moja.ikapata nakala 900. Naamini yy mwenyewe hyo nakala hajaipata.bado.
 
Uko sahihi kabisa haimuhusu hii ni katiba ya CCM na wanaCCM pekee.

Huna faida katika taifa hili. Yaan na akili zako unasema katiba ni ya chama flani na haiwahusu wafuasi wa vyama vingine. Nna mashaka na wewe maana hata elimu ya uraia huijui kabisa.
 
Huna faida katika taifa hili. Yaan na akili zako unasema katiba ni ya chama flani na haiwahusu wafuasi wa vyama vingine. Nna mashaka na wewe maana hata elimu ya uraia huijui kabisa.

Mkuu muolewaji(bridal) kwani ni uongo hiyo sio katiba ya ccm? Waliyoipitisha pale bungeni si ni maccm? Unabisha nini?
 
sijui washauri wa watoa maamuzi wanawaza nini.Hesabu hazionyeshi majibu sahihi mbele yetu.Inaelekea wanatafuta sifa za kulazimisha
 
Kama ambavyo wengi walidhani ktb pendkezwa haitopatikana ndio hivoo wawazavyo baadhi kua katiba inayopendekezwa mwezi April ni ndoto.... Tanzania ni yetu sote vijana
 
mm mpaka sasa sijapata hiyo elimu inayohusu mchakato mzima wa katiba pendekezwa nashangaa
kuona kuwa mwezi aprili eti ndo tunapigia kura maoni ya katiba pendekezwa huu ni upuuzi wa aina yake
usioeleweka sijui kwanini wanatupeleka kama kanyaboa hawa serikali ya ccm wanataka tuamshe hasira zetu
wajue kuwa siye ni akina nani? tunapelekeshwa kama mapanya buku road
 
heeeeee Mwanyasi umeshabadili nawe katiba ya id yako? au nawe ndo umeingia katiba pendekezwa ninii?
naona ccm walidharau ushauri wa baba mdogo wa taifa wakaishia kumtukana sasa yatawatokea puani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom