TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Wote walioisoma vizuri Katiba inayopendekezwa watakubaliana na mimi kuwa ingefaa tuipitishe hata leo ili tuanze kufaidi matunda yake.Hivi Kati ya wanaokula na wewe umo? Au wewe unaliwa? Unawajua wanaokula? Jiulize ndugu.
Kweli wanao uwezo wa kubadili lakini kumbuka ile ni sheria na process za kubadili kifungu cha sheria zinajulikana ni mpaka upelekwe muswada bungeni na uungwe mkono, sijui watafanya hivyo kwa kikao gani cha bunge.Watabadili tu tarehe ili kukidhi hayo matakwa ya siku...inaweza kufanyika may 2015
Wote walioisoma vizuri Katiba inayopendekezwa watakubaliana na mimi kuwa ingefaa tuipitishe hata leo ili tuanze kufaidi matunda yake.
Kweli wanao uwezo wa kubadili lakini kumbuka ile ni sheria na process za kubadili kifungu cha sheria zinajulikana ni mpaka upelekwe muswada bungeni na uungwe mkono, sijui watafanya hivyo kwa kikao gani cha bunge.
Uko sahihi kabisa haimuhusu hii ni katiba ya CCM na wanaCCM pekee.Inamuhusu kwani? Wao si wamesusia?
Mkuu sheria ibadilishwe mitaani?Kwani hata wasipoenda kubadili bungeni wakabadili tu huku mtaani watafanywa nini? Nothing will happen.
They can do anything
Chenga nyingi mno mpaka zinatupa mashaka utazani si mwaka wa uchaguzi.UKAWA wameanza kuteuana huko wewe unasema uchaguzi haupo?
Wote walioisoma vizuri Katiba inayopendekezwa watakubaliana na mimi kuwa ingefaa tuipitishe hata leo ili tuanze kufaidi matunda yake.
Mkuu sheria ibadilishwe mitaani?
Kwa nchi isiyokuwa na serikali kama Somalia inawezekana, ila kwa vile nchi yetu inadharau utawala wa sheria (rule of law) tunaweza ku practice utawala wa Somalia kwa kutungia sheria mitaani.
kata yetu imepokea nakala 900 zinazogawiwa kwa makundi mbalimbali
Jamaa naweza.kusema.muongo kwa nakala.zilizochapwa haiwezekani kata moja.ikapata nakala 900. Naamini yy mwenyewe hyo nakala hajaipata.bado.Kata yako itakuwa ndio iliochapisha nakala za katiba iliyopendekezwa, na imejipendelea katika mgao na kupata zaidi ya 15%! Ilitangazwa hapo awali na tume ya uchaguzi kuwa zimechapwa nakala laki 7(700,000) na zitagawiwa nchi nzima!
Uko sahihi kabisa haimuhusu hii ni katiba ya CCM na wanaCCM pekee.
Huna faida katika taifa hili. Yaan na akili zako unasema katiba ni ya chama flani na haiwahusu wafuasi wa vyama vingine. Nna mashaka na wewe maana hata elimu ya uraia huijui kabisa.
naona ccm walidharau ushauri wa baba mdogo wa taifa wakaishia kumtukana sasa yatawatokea puani!