Hivi nyie watu mna nn na huyo Nyerere? Yeye alikuwa Mungu?
Serikali tatu ni laana kwa watakaoibariki, dhambi hiyo itawapukutisha kama ambavyo mti hupukutisha majani wakati wa kiangazi.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, "Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania" - Ukurasa wa 61.

Sio hilo to mkuu bali isome hiyo attachment vizuri alafu angalia hapo nilipo highlight na uniambie watu wana aina hiyo wamebakia wangapi ccm ukimtoa Mzee Warioba na wenzake wachache!?Mimi hawa jamaa wananichekesha sana, Linapofika suala la Muungano Nyerere anakuwa mungu, Ila kwenye Rushwa, Ufisadi na umasikini Nyerere ni Shetani.
Mimi hawa jamaa wananichekesha sana, Linapofika suala la Muungano Nyerere anakuwa mungu, Ila kwenye Rushwa, Ufisadi na umasikini Nyerere ni Shetani.