Warioba:Tanganyika ina shutumiwa kwa kuvaa koti la Muungano na kufanya Tanzania ndiyo Tanganyika

Kama upo Tanga ama umewahi kuishi au kufika kuna kisiwa kipo karibu sana na bandari hiyo. Hapo kuna kabila lililoishi katika kisiwa hicho nao walikuwa wekienda Tanga au mbali zaidi wakienda nyika. Sasa wenyeji watuambie hili ni memo Kibondei ama Kidigo. Wadigo wametokea Msambweni ya Kenya. Historia ni muhimu sana. Tujuzeni wahusika
 
Wabondei kwao ni Muheza hawana asili yoyote na Pwani!
 
Na pwani nani walikwepo kwani Wadigo wametokea wametokea maeneo hayo walipo Waduruma. Mambo ya kale makabila kuhamishana kwa mtindo wa Vita. Mwenye nguvu mpishe
 
Na pwani nani walikwepo kwani Wadigo wametokea wametokea maeneo hayo walipo Waduruma. Mambo ya kale makabila kuhamishana kwa mtindo wa Vita. Mwenye nguvu mpishe
Kuhamishana? hilo suala ni pana mno!

Kabla ya Mkoloni kugawa hii Kenya na hii Tanganyika, Mombasa ilikuwa upande gani? Tanga ilikuwa upande gani?

Utaniambia Kagera ilikuwa upande gani kabla ya kuwekwa mipaka ya Tanganyika na Uganda?

Tunduma ilikuwa upande gani kabla ya kuwekwa mipaka ya Tanganyika na Zambia?

Wanyasa walikuwa upande wa Malawi au Tanganyika kabla ya kuwekwa mipaka?

Halafu Wachaga nao, je ni Wakenya au Watanganyika?
 
Hivi ni vikazi vya asli hata hawa Wazigua walikuwa maeneo Kilimanjaro. Mkibosho ametokea Afrika kusini Wangoni hukohuko kwa hiyo Wabondei walikuwa wakiishi ktk Kisiwa hiki cha Toteni Wadigo waliwahamisha wakaingia maeneo ya Muheza hadi Halemwakinyumbi. Weberbeg wametokea Somalia
 
Mhh! hizi historia ziandikwazo na wamishenari hizi!
ilikuwa mwaka gani?
 
Huku kwetu kijiji tunataka serikali mbili.
 
Kaa na Wazee wakupe hata kijihistori walikotoka. Ukujuwe kwenu. Miziki ya kufokafoka wee una asili ndugu. Mkimkuta aliyepigana vita ya kwanza ya ndunia jaribu kumuhoji upate habari ndo utajua ni za wamishenari au babu zako. Na hao misukosuko walopata watakwambia Serikali ngapi zinatosha kuongoza Nchi. Amerika 1 na utajiri wao 2. China 1 na uchumi wao. India 1 na wingi wao. Vinchi maskini eti vinataka tatu tatu. Urusi wameparaganyika sasa wanajutia. Sera ya Wakoloni wagawe tuwatawale kwa sababu wameona ndoa za mashoga zitawacheleweshea mambo!!!!!!!!
 
Nimehuzunika sana, suluhisho hapa jamani ni serikali moja tu, hizo tatu za nini???
Kama upande mmoja ukikataa serikali moja maana yake wameukataa muungano na hapo uvunjwe tu!
Kuna sababu gani za kulazimishana??
 
Nimehuzunika sana, suluhisho hapa jamani ni serikali moja tu, hizo tatu za nini???
Kama upande mmoja ukikataa serikali moja maana yake wameukataa muungano na hapo uvunjwe tu!
Kuna sababu gani za kulazimishana??
Relax!
Tatu ni jiwe la msingi la kuuvunjilia mbali huu muungano usio na kichwa wala miguu.
 
Tazameni Nchi kubwa kubwa Serikali moja. Haya ni majimbo mawili tu. Magavana wawali . Rais . Serikali mmoja. Chakuangalia ni mambo ya huo uchumi na ndiyo kero ya Muungano. Kwa hiyo kila jumbo lisimamie Uchumi wake, nn tuache kurembaremba
 
Kuna nchi zaidi ya 50 zilizoungana na kuwa majimbo zinaongozwa na serikali moja tu. Tazama canada china amerika india. Nchi hizi hatuzifiki kwa ukubwa. Wingi wa watu. Uwezo wa kiuchumi. Swali migomo ya kodi ndo hiyo tutaweza serikali tatu. Bado hao wenye biashara za kuweza kulipa kwenye milango ya maduka wamachinga wasolipia cho chote ktk biashara wanapanga bidhaa mbele ya duka la mtu
 
Inch moja Serikali moja , ikishindikana muungano usiwe , mbona Kenya unganda Zambia majirani zetu tu naishi vizuli tu
 
Haswa. Zanzibar iwe jimbo na Gavana wake na bara nayo iwe na Gavana wake. Rais mmoja Serikali moja.
Kisha kila jimbo lijiendeshee uchumi wake. Endapo tutafika eneo ambalo litaonyesha nia ya kuunganisha masuala ya Uchumi bila kuwepo kero . basi waunganishe. Lakini kama ni kuzitaka serikali ili watu wapate kazi ama madaraka. Hali hiyo itatuumiza sana katika kodi. Ama wakisha pata hayo mafuta gasi na mengine hapo ndo co shida kuwa na serikali nyingi
 
Yawezekana kauli ile metolewa ili kuonesha jinsi gani utaratibu wa kuvaa koti kubwa ulivyovurugwa.
Kwa kauli hii sidhani kama kuna mtanganyika atajifanya kwamba yeye ni bora sana wa kulivaa koti
hilo kwa kipindi kingine cha miaka minne baada ya 2015.Ni vema wanasiasa hao wakapokezana koti
hilo ikiwezekana kwa kutumia mapendekezo ya Mzee Warioba hasa linapokuja suala ya mausiano ya nje.

Na Wazanzibar nao yawapasa kuwa wazalendo wa kweli kwa kukataa kutumiwa na mabepari wa kiarabu
kwa manufaa ya vizazi vijavyo vya hao mabepari.

Ili kuondoa mianya ya kibeberu kuchukua nafasi ni bora vijiji vya Zanzibar vikaingia ubia na vijiji vya bara
kwa maana ya ukaazi,biashara,kilimo,ufugaji,uvuvi,utalii na n.k ili kujenga sura mpya ya Utanzania.
 

Uongo wa namna hii dawa yake huwa mapinduzi ya nguvu. Zitto Kabwe angemfukuza Mbowe kwa nguvu huku waha wakimwunga mkonotungefanikwa. Uongo mwingine ni kumfukuza Jakaya kwa nguvu, Katiba zinatuimika vibaya! Tumeziandaa kwa nia njema, akaja mtu mwenyte shida, akaanza kuloloma Katiba hiyo hiyo, wote midomo wazi huku tukijua ni honi tu. Shauri zenu!
 
Wana imeza inautamu gani mbona sioni cha maana huko?

Utakiona wap na ww macho huna!....au umevaa mawani ya kiza..ha ha haa waache wenye Zanzibar yao waone na wajivunie ya maana usiyoyaona ww...mwe kwani lzm uyaone na uyajue ww ..wacha udaku watakueka kwenye ijumaa buleee
 
tunazunguka sana ila suluhisho ni serikali moja na znz iwe mkoa rasmi au muungano uvunjwe tukutane EAC,kwa hali hii matatizo yatajirudia tena na znz wataendelea kulalamika wanataka mamlaka kamili

Eti mkoa ....ha ha ha very funny. Na mm naisubiria kuiona hio siku ya kusadikika ...Zanzibar mkoa!!!! Ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…