Warioba:Tanganyika ina shutumiwa kwa kuvaa koti la Muungano na kufanya Tanzania ndiyo Tanganyika

Warioba:Tanganyika ina shutumiwa kwa kuvaa koti la Muungano na kufanya Tanzania ndiyo Tanganyika

Dom jangwa fikisha maji.
Kila ilivyo jangwa haiishindi Riyadh.

Angalia maji ya "kumwaga" yanavyopatikana Riyadh, unajua wanayatoa wapi? ni maji ya baharini waliyoyasafisha...Tanganyika eneo lote la bahari mlilo nalo mnashindwa kuyasafisha na kuyafikisha Dodoma?!

Kazi yenu kutwa kuchwa Zanzibar,Zanzibar! waacheni.

Kama ni usalama Kenya pia imepakana na Zanzibar mbona hatuwasikii kuitia midomoni Zanzibar kila siku?!
 
Inaonyesha kuwa hufahamu kiini cha Mapinduzi ya Zanzibar. Mvutano upo kati ya aliyepinduliwa na hataki Muungano. Aliyepindua anataka Muungano kwani anajua maana na sababu. Tuache uvuvuzela ktk jambo muhimu sana kama hili
 
na sisi ambao mbunge wetu ni Mwigulu Nchemba?[/QUO

umenipa raha sana ukiwa na mbunge ambaye hana mbele wala nyuma hana msimamo kama naniliu ya akina naniliu kaz kwel kwel anaendeshwa na upepo ye ni kama mbwa akiambiwa shika hata kama ni ndg yake anang'ata mwigulu, na mbunge wa mtera ni majanga .......viva CCM oyeeeeeee!!
 
wakati CCM inaenda zanzibar kuomba ridhaa ya kuwaongoza viongozi waliomba kuwatumikia wananchi sio kuwatumikisha wananchi sasa kama wazanzibari hawatak muungano kwann uwatumikishe demokrasia inaruhusu mtu kusema akitakacho na kama kinawezekana apewe sasa mi sion tabu ya kuwapa wazanzibari wakitakacho waorodhesheeni faida za muungano na hasara za kuvunjika kwa muungano wao wachague ukiwalazmisha wanajua una kitu unakihitaj kutoka kwao wale ni ndugu zetu waachen wakajaribu wakshindwa tutawapokea tena kama tuna upendo nao.
Kama wanataka serikali tatu nayo tujaribu ikishindikana tunarudi ila wanakuwa wameshajifunza mambo cjui ya bajeti haitosh serikali tatu wakati kuna wabunge viti maalum hawana mchango wwte bungeni hela tunayowalipa wagawane marais wataoingia madarakan, kuna mawaziri naibu waziri na makatibu wakuu wa kila wizara wote hawa wanafanya kazi moja tuvunje kimoja pesa zitoshe wabunge wasiwe mawaziri ili pesa itoshe kila kitu kinawezekana ukiwa na nia CCM hutoa majibu rahis kwa maswali magumu fikirini kwanza ndio mtoe majib ndo maana mnazidi kumkandamiza mtu mlomuomba ridhaa ya kumuongoza unampandishia kila kitu kasoro mshahara huo sio uongozi saiz umeme umepanda baada ya kupata gesi mnatafuta pesa kwa wananchi wanaopata kwa taabu pesa za rasilimali mmezificha uswisi TUAMKE WATANZANIA SERIKALI TATU INAWEZEKANA AU KUIPA MAMLAKA ZANZIBAR KUWA NCHI HURU INAWEZEKANA.
 
Mashule na MA hospital hatujayaweza ndio hiyo Serikali tatu. Waalimu Waganga Watoto wa mitaani Huduma kwa Wazee wasiojiweza na mengi mengi cc bado sana. Mawaziri Manaibu MA KATIBU Wakuu na Manaibu wao Wabunge na wa viti vyao.
Acha Wakuu wa Mikoa Wilaya.........
Jamani Serikali kuitanua c mchezo.
GARI DOGO RTA UNALIPIA LESENI YA MWAKA BEI GANI ACHANA SASA NA VIPURI.
HEBU KAA CHINI KWA MAKINI PIGA HESABU ZAKO PATO LA KUENDESHEA HIZO SERKALI LITATOKA WAPI. UKIZINGATI NCHI INAMADENI MENGI MENGI KTK HII MIRADI INAYOENDELA SASA. Barabara Vyuo Vikuu nk. Hiyo mikopo ya miradi itakuja kuwa ndo mafungu ya Kuendeshe a Serikali . Wakati wakulipa zamani hao Wazee Ma Pro. wamesharudi Kwa MUNGU. NAWASIHI WATZ TUTULIZE MAWAZO TUFIKE PALIPO SALAMA NA VILE VILE MAWAZO YA KUBEBEWA CHANGANYA CHANGANYA HADI UPATE MSETO MZURI

hayo malalamiko yako yote majibu anayo mkuu wa nchi anaelewa kila kitu sema hatuwajibishani na kumfukuza mtu uanachama na kumvua uongoz CCM ni kazi ngum ndo maana uwajibikaji hakuna anaepata kitengo anawaza tumbo lake tu hebu fikiria tungekuwa tunawawekezaji wasio na ubia na viongozi hayo maisha magumu ungeyapata wapi ndio maana saiz unafkria bajeti sababu pesa zipo uswisi za wazanzibari na za wabara na mawaziri wanaotoka bara ndo wanaongoza kwa kutorosha pesa tuwaache wazanzibari wajitawale huwez kung'ang'ania kumbeba mtoto ambaye anakwambia sasa naweza kutembea niache mpe uhuru akishindwa atakufata tu kama akiweza mwache akajitafutie
 
Kura ya maoni ni njia pekee ambayo Watanzania wa pande zote watakuwa na haki ya ku-determine their right to self-determination. Haya mengine ya sijui serikali tatu ni kupotezeana muda na matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima.

Yaani nchi mmoja inakuwa na Marais watatu? Kwa hiyo siku wakitembelewa na mkuu wa nchi nyingine, watakuwa wanajipanga mbele yake na kujitambulisha mimi ni wa Tanzania, mimi wa Tanganyika na mimi ni wa Zanzibar? Hiki ni kioja.

Ukiachilia mbali Urais bado kutakuwa na Bunge la Muungano ambalo litakuwa na wabunge sijui 70 or so achilia mbali Waziri Mwandamizi, Mawaziri wa wizara za muungano, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu wa Wizara hizo hizo za Muungano. Nadhani na serikali shiriki zitakuwa na watu kama hao pia.

Badala ya ku-address tatizo tunalizungazunga na kulipaka rangi za kuvutia. Wapo wanaodai kuwa pendekezo la serikali tatu limewekwa ili kurahisisha kuvunjika kwa muungano.

But justice delayed is justice denied. Tunajua muungano utavunjika tuu, but the earlier the better.

kwel ndugu hapa nmekuelewa wazanzinaru wapewe wanachohitaji sio kuzungukazunguka ukiona umeachiwa mtu wa kusimamia mirathi kila siku anashinda kwenu mpaka umekua hataki kukupa uhuru wa kuendeleza ana lake jambo viongoz wa CCM wamewekeza hotels zanzibar wanahofia wakichukua na mali zao ndo basi tena ndo maana wanang'ang'ania serikali moja mara mbili hawana la maana kwenye muungano la kuwanufaisha wananchi
 
chris lukos, kumbe sometimes unakuwa objective! waZenji kiufupi hawautaki muungano, na sisi tunajibembeleza tuu, sijui sababu ni nini haswa!

ukikaa nao falagha utajua jinsi wasivyoupenda muungano, ila unafiki unawasaidia na ndo kisa muungano upo! serikali tatu ni option ya kwanza, kama iki fail we do the needful

hujui sababu ya viongozi kung'ang'ani a muungano?? ngoja nkuambie.........
kwanza muungano umewanufaisha viongozi wa bara sana kwani wakiiba pesa wanaenda kuwekeza zanzibar wana hotels za kutisha huko hivyo wanahofia mali zao

pili wanafikiria CCM imeanza kupoteza viti vya ubunge kwa kasi sana sasa wanafkria bila kuchanganya na vya zanzibar si ndo ndiooooo ztapungua hoja za kijinga ztashindwa kupita.

tatu rais hatakuwa na prestige kama ya waliopita kuwa rais wa serikali ya muungano na bajeti itapungua hivyo ulaji utapungua

mi naona suluhu ni kuwapa wazanzibari uhuru wao wafanye wakitakacho kama taifa huru sababu hata tukiendelea kuwang'ang'ania bado ipo siku muungano utavunjika tena kwa vurugu na aibu hii ndo peaceful means pekee iliyobakia ka sivyo yataendelea yale yale mara tindikali mara risasi mara mabomu na mwishowe itakuwa vita sasa co vurugu ndogondogo.
 
Wazee wamewajengea mnakuja kubomoa hiyo laana ingojeni iwashukie. Kujenga kazi kweli kweli lakin kubomoa kazi rahisiiiii
 
Back
Top Bottom