Kila ilivyo jangwa haiishindi Riyadh.Dom jangwa fikisha maji.
na sisi ambao mbunge wetu ni Mwigulu Nchemba?[/QUO
umenipa raha sana ukiwa na mbunge ambaye hana mbele wala nyuma hana msimamo kama naniliu ya akina naniliu kaz kwel kwel anaendeshwa na upepo ye ni kama mbwa akiambiwa shika hata kama ni ndg yake anang'ata mwigulu, na mbunge wa mtera ni majanga .......viva CCM oyeeeeeee!!
Mashule na MA hospital hatujayaweza ndio hiyo Serikali tatu. Waalimu Waganga Watoto wa mitaani Huduma kwa Wazee wasiojiweza na mengi mengi cc bado sana. Mawaziri Manaibu MA KATIBU Wakuu na Manaibu wao Wabunge na wa viti vyao.
Acha Wakuu wa Mikoa Wilaya.........
Jamani Serikali kuitanua c mchezo.
GARI DOGO RTA UNALIPIA LESENI YA MWAKA BEI GANI ACHANA SASA NA VIPURI.
HEBU KAA CHINI KWA MAKINI PIGA HESABU ZAKO PATO LA KUENDESHEA HIZO SERKALI LITATOKA WAPI. UKIZINGATI NCHI INAMADENI MENGI MENGI KTK HII MIRADI INAYOENDELA SASA. Barabara Vyuo Vikuu nk. Hiyo mikopo ya miradi itakuja kuwa ndo mafungu ya Kuendeshe a Serikali . Wakati wakulipa zamani hao Wazee Ma Pro. wamesharudi Kwa MUNGU. NAWASIHI WATZ TUTULIZE MAWAZO TUFIKE PALIPO SALAMA NA VILE VILE MAWAZO YA KUBEBEWA CHANGANYA CHANGANYA HADI UPATE MSETO MZURI
Kura ya maoni ni njia pekee ambayo Watanzania wa pande zote watakuwa na haki ya ku-determine their right to self-determination. Haya mengine ya sijui serikali tatu ni kupotezeana muda na matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima.
Yaani nchi mmoja inakuwa na Marais watatu? Kwa hiyo siku wakitembelewa na mkuu wa nchi nyingine, watakuwa wanajipanga mbele yake na kujitambulisha mimi ni wa Tanzania, mimi wa Tanganyika na mimi ni wa Zanzibar? Hiki ni kioja.
Ukiachilia mbali Urais bado kutakuwa na Bunge la Muungano ambalo litakuwa na wabunge sijui 70 or so achilia mbali Waziri Mwandamizi, Mawaziri wa wizara za muungano, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu wa Wizara hizo hizo za Muungano. Nadhani na serikali shiriki zitakuwa na watu kama hao pia.
Badala ya ku-address tatizo tunalizungazunga na kulipaka rangi za kuvutia. Wapo wanaodai kuwa pendekezo la serikali tatu limewekwa ili kurahisisha kuvunjika kwa muungano.
But justice delayed is justice denied. Tunajua muungano utavunjika tuu, but the earlier the better.
chris lukos, kumbe sometimes unakuwa objective! waZenji kiufupi hawautaki muungano, na sisi tunajibembeleza tuu, sijui sababu ni nini haswa!
ukikaa nao falagha utajua jinsi wasivyoupenda muungano, ila unafiki unawasaidia na ndo kisa muungano upo! serikali tatu ni option ya kwanza, kama iki fail we do the needful