Warioba tubuu badala ya kujisafisha kwa Propaganda dhaifu

Warioba ni kile kizazi cha pili ukiacha Nyerere kilichobeba agenda ya udini,ni waamini siasa Kali wa udini,kipindi hicho wazee wetu wachache wenye majina ya kiarabu hawakuwa na amani ofisi za umma na wabeba msalaba walizifanya ofisi vigango hadi kuzipamba kwa kadi za Christmas

Kinachomsumbua ni ushungi wa mama,na warioba yumo katika genge la waliopanga uhalifu wa oktoba pamoja na wanaomlisha mkate jumba la ibada

Kuna kiama chaja,anajilinda
Mafi kabisa.
 
Mtu mwenye rohoo mbayaaa chukiiii ni sawa na Mchawi tu❗️

kumkuta Mchawi mnene ngumu sana !!!!

wanakuwaga wembamba wembamba !!

mana kiakili awashibi wakila kushiba kwao ni mpaka jiran yake hakose kula iyo siku!!!!!

Lkn kwake kupikwe na kwa jiran kupikwe hataki !!!

anavimba kwa hasira na anakunja juso lake ndiomana usoni kakunjikana kwa chuki chuki za uzembe wa wazazi .

Sijui kadekezwa tangu mdogo n wazazi sasa anaazeaka na kuwa kituko!!

Kale kazee akanywi bia kweli???

mbona michongo yake km kinafosi pesa za pombe pombe tu.

Au mm ndio simjui kwani mzee mishe zake mjini zipi???

Anapataje pesa kuendesha maisha yake kwasasa???

Kasomesha watoto uyu??

Ina maana huna akili kiwango hiki!! Yaani umeshindwa kupata maswali ya maana ya kuuliza mpaka unauliza masawali ya kipuuzi kiasi hiki?
 
View attachment 3587878

Ukitaka kujua tabia ya paka chunguza anakula nini.

Warioba (na mwenzie Butiku) ni watu ambao mikono Yao imejaa damu na machozi ya wahanga wengi. Ukitaka kujua hili durusu Sheria ya kuweka watu kizuizini ambayo ilianza kufanya kazi tarehe 5 oktoba 1962 (Act No. 60 of 1962). Wakati huo Mwanasheria Mkuu alikuwa Bwana Roland Brown na Waziri Mambo ya Ndani alikuwa
Oscar Kambona.

Baadhi ya Wanasheria Wakuu walioshiriki kutekeleza Sheria hii ni Mark Bomani na Damian Lubuva. mawaziri Mambo ya Ndani waliofuatia ni Mark Bomani.

Baadhi ya mawaziri Mambo ya Ndani waliotekeleza Sheria hii ni Lawi Sijaona,, Job Lusinde na Saidi Ali Maswanya.

Japo ilitungwa kabla Warioba hajaajiriwa serikalini lakini hawezi kukwepa ushiriki wake katika kuitekeleza.

Tuitizame historia ya utumishi wa Sinde Warioba:

Mara ya kwanza kuajiriwa serikalini ilikuwa mwaka 1966 baada ya kuhitimu digrii ya Sheria UDSM. Aliajiriwa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kama wakili wa serikali hadi 1968.

Kati ya 1976-1983 akawa Mwanasheria Mkuu na kutoka 1983 - 1985 akawa Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu. Kati ya 1985 - 1990 akawa Waziri Mkuu.

Nimeonyesha historia yake ili kuonyesha uhusiano wake na Sheria ya kuweka watu kizuizini ambayo iliumiza wengi. Mmoja wa wahanga ni Kasanga Tumbo ambaye alitoka kizuizini akiwa amepoteza asilimia 80 ya kuona (vision). Pia Kasela Bantu ambaye alitoka akiwa amechanganyikiwa. Abdu Rahman Babu alitoka akiwa "nusu" kipofu!

Kwa nafasi alizoshika Warioba na kama kweli angekuwa mpenda haki kama ambavyo rafiki yangu Kassim Meja Kapalata anaona ingefaa awepo kwenye tume alikuwa na uwezo wa kuifuta Sheria Ile kandamizi.

Badala yake akiwa Mwanasheria Mkuu aliiboresha ili kuziba "mapungufu". Kwa mfano ilifanyiwa marekebisho ili iruhusu watu kuhamishiwa kisiwani Mafya. Wahanga wengi wakiwa wakazi wa Mara wa kabila la wakurya. Hawa walionekana "wakorofi" na wezi sugu wa kutumia silaha. Sheria iliruhusu mtu asombwe na kurupwa visiwani bila kujali atapataje makazi na chakula.

Warioba angetaka ingefutwa! Lakini Kwa kuwa alikuwa matawi ya juu hakujali! Ni Warioba huyhuyu Sasa anahadaa vijana kuwa ni mpenda haki.

Ni baada yake ndipo Sheria iliboreshwa na kutoa haki ya mtu aliye kizuizini kupinga kuwekwa kizuizini mahakamani. Iko sura 361 ya Sheria za Tanzania.

Ni kweli Warioba na mwenzie Butiku wamefanikiwa kuwahadaa baadhi ya vijana kuwa wao ni wapenda haki lakini kamwe dhambi ya kuumiza watu na hata kupoteza maisha haitwaacha. Itatembea nao Hadi pale (1) Watakapoomba radhi hadharani au Kwa walioumizwa (2) Watakapoitwa na muumba. Uamuzi ni wao! Ni vyema waombee radhi badala ya kuhangaika kujisafisha. Watajisafisha kwa wajinga lakini Kwa wahanga na kwa Mungu hawatasafishika.

Mizimu na damu za wahanga hazitawaacha salama watu kama Warioba.

Warioba you can fool some idiots but remember there are other cool heads who saw you during your evil season.

The time to Repent is now before it's 2 late! !
Peleka Makunduchi au Donge huu uharo watu wamepoteza wapwndwa wao.
 
Warioba ni kile kizazi cha pili ukiacha Nyerere kilichobeba agenda ya udini,ni waamini siasa Kali wa udini,kipindi hicho wazee wetu wachache wenye majina ya kiarabu hawakuwa na amani ofisi za umma na wabeba msalaba walizifanya ofisi vigango hadi kuzipamba kwa kadi za Christmas

Kinachomsumbua ni ushungi wa mama,na warioba yumo katika genge la waliopanga uhalifu wa oktoba pamoja na wanaomlisha mkate jumba la ibada

Kuna kiama chaja,anajilinda

Crap if not rubbish.
 
Kwa kuwa kasema tume ya mamaduro ilimpigia mamaduro kura 98% ndio ukakumbuka hayo chawa?

Mamaduro hasafishiki kwa kuwachafua wazee waliotumikia hii nchi hadi akaonekana na akafika yeye alipo, cha kufanya akatubu tu kwa damu alizomwaga atasamehewa, hii nyepesi sana haitamsafisha!
 
Na mmeitana machawa wote wa jf kuchangia uzi huu !
Sina hakika kama mna fahamu jinsi msivyo eleweka na jamii .
Kazi mnayo tumwa hakika ni ngumu!
Ila komaeni watu wangu maisha si mepesi kabisa yaani!
 
View attachment 3587878

Ukitaka kujua tabia ya paka chunguza anakula nini.

Warioba (na mwenzie Butiku) ni watu ambao mikono Yao imejaa damu na machozi ya wahanga wengi. Ukitaka kujua hili durusu Sheria ya kuweka watu kizuizini ambayo ilianza kufanya kazi tarehe 5 oktoba 1962 (Act No. 60 of 1962). Wakati huo Mwanasheria Mkuu alikuwa Bwana Roland Brown na Waziri Mambo ya Ndani alikuwa
Oscar Kambona.

Baadhi ya Wanasheria Wakuu walioshiriki kutekeleza Sheria hii ni Mark Bomani na Damian Lubuva. mawaziri Mambo ya Ndani waliofuatia ni Mark Bomani.

Baadhi ya mawaziri Mambo ya Ndani waliotekeleza Sheria hii ni Lawi Sijaona,, Job Lusinde na Saidi Ali Maswanya.

Japo ilitungwa kabla Warioba hajaajiriwa serikalini lakini hawezi kukwepa ushiriki wake katika kuitekeleza.

Tuitizame historia ya utumishi wa Sinde Warioba:

Mara ya kwanza kuajiriwa serikalini ilikuwa mwaka 1966 baada ya kuhitimu digrii ya Sheria UDSM. Aliajiriwa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kama wakili wa serikali hadi 1968.

Kati ya 1976-1983 akawa Mwanasheria Mkuu na kutoka 1983 - 1985 akawa Waziri wa Sheria na Mwanasheria Mkuu. Kati ya 1985 - 1990 akawa Waziri Mkuu.

Nimeonyesha historia yake ili kuonyesha uhusiano wake na Sheria ya kuweka watu kizuizini ambayo iliumiza wengi. Mmoja wa wahanga ni Kasanga Tumbo ambaye alitoka kizuizini akiwa amepoteza asilimia 80 ya kuona (vision). Pia Kasela Bantu ambaye alitoka akiwa amechanganyikiwa. Abdu Rahman Babu alitoka akiwa "nusu" kipofu!

Kwa nafasi alizoshika Warioba na kama kweli angekuwa mpenda haki kama ambavyo rafiki yangu Kassim Meja Kapalata anaona ingefaa awepo kwenye tume alikuwa na uwezo wa kuifuta Sheria Ile kandamizi.

Badala yake akiwa Mwanasheria Mkuu aliiboresha ili kuziba "mapungufu". Kwa mfano ilifanyiwa marekebisho ili iruhusu watu kuhamishiwa kisiwani Mafya. Wahanga wengi wakiwa wakazi wa Mara wa kabila la wakurya. Hawa walionekana "wakorofi" na wezi sugu wa kutumia silaha. Sheria iliruhusu mtu asombwe na kurupwa visiwani bila kujali atapataje makazi na chakula.

Warioba angetaka ingefutwa! Lakini Kwa kuwa alikuwa matawi ya juu hakujali! Ni Warioba huyhuyu Sasa anahadaa vijana kuwa ni mpenda haki.

Ni baada yake ndipo Sheria iliboreshwa na kutoa haki ya mtu aliye kizuizini kupinga kuwekwa kizuizini mahakamani. Iko sura 361 ya Sheria za Tanzania.

Ni kweli Warioba na mwenzie Butiku wamefanikiwa kuwahadaa baadhi ya vijana kuwa wao ni wapenda haki lakini kamwe dhambi ya kuumiza watu na hata kupoteza maisha haitwaacha. Itatembea nao Hadi pale (1) Watakapoomba radhi hadharani au Kwa walioumizwa (2) Watakapoitwa na muumba. Uamuzi ni wao! Ni vyema waombee radhi badala ya kuhangaika kujisafisha. Watajisafisha kwa wajinga lakini Kwa wahanga na kwa Mungu hawatasafishika.

Mizimu na damu za wahanga hazitawaacha salama watu kama Warioba.

Warioba you can fool some idiots but remember there are other cool heads who saw you during your evil season.

The time to Repent is now before it's 2 late! !
Wee Kenge wa mama fahamu kuwa
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Ni ngumu kujibu hoja za Warioba zaidi ya kufanya personal attack.
 
Hiyo ni statement ya Baraza kuu lipi?
La uvccm, bakwata au la wazee wa dar?
 
Nyie ndo mnafaidika na mfumo CCM na Samia ambao waislam mmeunganishwa navyo kwa hivyo Warioba lazima mumchukie tu. Ila yule ndiye mwana CCM aliyebakia wengine mbwa wa mtaani.
 
Back
Top Bottom