johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja waje!Kuna aliyeingia madarakani akazikuta?
Na hivyo Vitenge na Viatu vilitakiwa vitengenezwe na "Wajomba" zetu wa Ulaya watuletee?.Halafu kuna watu wanasema Mzee Mwinyi hakufanya lolote la maana.
Mama zetu walikuwa wanavaa vitenge vya kupika. Kulikuwa na viatu fulani vinaitwa “Asante Salim” vya kitambaa.
Tulikuwa choka mbaya.
Viatu viliagizwa na Salim Ahmed Salim hivyo vitenge vilikuwa ni vya hapa hapa.Na hivyo Vitenge na Viatu vilitakiwa vitengenezwe na "Wajomba" zetu wa Ulaya watuletee?.
Sijui Kama Mataga walikuwa wamezaliwa,Wanda zilikuwa zinapikwa kwenye Rangi,ndipo vinapatikana vitenge vilikuwa vinaitwa MASANTULA.Halafu kuna watu wanasema Mzee Mwinyi hakufanya lolote la maana.
Mama zetu walikuwa wanavaa vitenge vya kupika. Kulikuwa na viatu fulani vinaitwa “Asante Salim” vya kitambaa.
Tulikuwa choka mbaya.
Hao mataga wengi ni vijana wamezaliwa miaka hii ya simu janja.Sijui Kama Mataga walikuwa wamezaliwa,Wanda zilikuwa zinapikwa kwenye Rangi,ndipo vinapatikana vitenge vilikuwa vinaitwa MASANTULA.
Halafu kuna watu wanasema Mzee Mwinyi hakufanya lolote la maana.
Mama zetu walikuwa wanavaa vitenge vya kupika. Kulikuwa na viatu fulani vinaitwa “Asante Salim” vya kitambaa.
Tulikuwa choka mbaya.
Nyerere alizikuta tele alizoachiwa na wakoloni akazifuja kwenye vita na kuwasaidia majirani zetuKuna aliyeingia madarakani akazikuta?
Nchi ilikuwa kwenye majaribio ya sera ya ujamaa.Ni bora tungeenda na sera za ukoloni za uchumi tungekuwa mbali.Sio KILA kitu cha mkoloni kilikuwa kibaya tungeyachukua mema yaoSera za ujamaa uchwara ndizo zilizoichakaza na kuifanya nchi fukara
Vita ya kagera 1978-79. Nyerere analaumiwa lakini aliendesha nchi katika mazingira magumu kuliko Rais yoyote aliyefuatia.Sera za ujamaa uchwara ndizo zilizoichakaza na kuifanya nchi fukara
Vilikuwa vya kwetu wenyewe lakini havikuwa na viwango vya kuuzwa hata hapo Kenya.Na hivyo Vitenge na Viatu vilitakiwa vitengenezwe na "Wajomba" zetu wa Ulaya watuletee?.
Kuna waafrika wenzetu wengi waliamua kuwa mabepari na mpaka leo wamechoka pengine kuliko sisi.Sera za ujamaa uchwara ndizo zilizoichakaza na kuifanya nchi fukara
Lazima JPM alizikutaKuna aliyeingia madarakani akazikuta?