Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,285
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 hautaweza kufanyika mpaka hapo itakapotungwa katiba mpya ya serikali ya Tanganyika, iwapo rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapitishwa na kuwa Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, alipokutana na wahariri wa vyombo mbali mbali vya habari, ambapo amesema hata hivyo kutunga katiba ya Tanganyika si tatizo kwa kuwa haitakuwa na mabadiliko mengi.
Source!
East Africa radio!