WARIOBA: uchaguzi mkuu 2015 kutofanyika hadi katiba ya tanganyika ikamilike!

WARIOBA: uchaguzi mkuu 2015 kutofanyika hadi katiba ya tanganyika ikamilike!

ohoooo, naona kwa mbali JK akiongoza Tz hadi 2018 sababu katiba mpya inatoa provision for kipindi cha mpito hadi muda huo ili katiba ya Tanganyika na ya Zanzibar ziwe in place.This might be is strategy kwa kuanzisha mchakato wa katiba katika awamu ya pili ya uongozi! the guy is smart in his own way au ni yale yale ya greedy African leaders! They won o step down from power unless forced to do so

kwani hatuwezi kuunda serikali ya mpito nje ya hii ya sasa? Au sheria zinasemaje?
 
Katiba ya Tanganyika imevaa koti la katiba ya Tanzania-hii mpya ijayo-kazi iliyopo ni kuivua koti hii itakayokuja tu na kuifanyia marekebisho kidogo. Ndio maana ya Warioba!
 
Mtamanyali,
That's subject to discussion kwenye bunge la katiba. Rasimu imetoa provision ya vingozi waliopo kuendelea na nyadhifa zao katika kipindi cha mpito hadi 2018
 
Warioba asijione yeye ndio ana akili kupita watu wote Tanzania kwanza rasimu haitapita kwani ili ipite lazima iungwe mkono na theluthi mbili ya wajumbe na ukichukulia kimuundo wajumbe wengi ni ccm kwa hiyo utakuwa upotevu mwingine wa fedha lakini siyo lazima rais aliyepo asimamie katiba mpya kazi hii inaweza kufanywa na rais atakayekuja
 
Aliyevaa koti ndiye haonekani .............. au koti ndiyo limemficha!!?? Lakini hapa Jaji Warioba asilete utani, katiba ya Tanganyika itakayofanyiwa marekebisho ni ipi hiyo!!??

Itabidi tuletewe katiba ya Tanganyika ya mwaka 1962.(republican constitution) halafu tuifanyie marekebisho ili iende na wakati uliopo sasa.
 
NINA MSWALI MACHACHE HAPA NAJIULIZA NAYO

_Nini sababu ya kuongezwa muda wa uchaguzi kwani Rais aliyopo anaulazima gani wa kuendelea kuwapo ?
_kama jibu ni kuhakikisha anakamilisha upatikanaji wa katiba mpya je haoni kua ameivunja katiba aliyo apa kuitetea na kuilinda ?

Rais mpya anapotezea wapi sifa ya kuendelea kuukamilisha mchakato wa upatikanaji wa katiba? God forbid vipi ikatokea amefariki ?( akifa )

_Mbona Zanzibar wanakatiba yao inayowatambulisha kua ni inji kamili japo ipo ndani ya muungano na bado tunaendelea kufanya uchaguzi kama kawaida ?
 
Back
Top Bottom