Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 hautaweza kufanyika mpaka hapo itakapotungwa katiba mpya ya serikali ya Tanganyika, iwapo rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapitishwa na kuwa Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, alipokutana na wahariri wa vyombo mbali mbali vya habari, ambapo amesema hata hivyo kutunga katiba ya Tanganyika si tatizo kwa kuwa haitakuwa na mabadiliko mengi.
Source!
East Africa radio!
Si alisema Tanganyika imevaa koti la Tanzania!Haitakuwa na mabadiliko mengi wana maanisha nini wakati hakuna katiba ya kurekebisha? Hivi Warioba bado ni Mwenyekiti au alikuwa mwenyekiti maana nakumbuka ilikuwa Tume muda wake umalizike baada tuu ya kukabidhi rasimu ya pili
Si alisema Tanganyika imevaa koti la Tanzania!
Tanganyika haina Katiba..isipokuwa kwa kuwa ndio mdau mkubwa katika Tanzania, basi katiba ya Tanganyika itakuwa ni subset ya katiba ya Tanzania. Hivyo itatoka mulemule....
Itakuwa balaa, tuombe mungu dege lianguke huu mkose uondokeKikwete will be the Second longest President to lead Tanzania
Inaonesha bado upo ucngizini,hujui wadau wakuu wa muungano?
Anayo mfukooni tayari nini? Amejuaje kwamba haitakuwa na mabadiliko mengi?... ambapo amesema hata hivyo kutunga katiba ya Tanganyika si tatizo kwa kuwa haitakuwa na mabadiliko mengi.
Kutunga Katiba ya Tanganyika ni tatizo maana muda ni mdogo sana kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 hautaweza kufanyika mpaka hapo itakapotungwa katiba mpya ya serikali ya Tanganyika, iwapo rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapitishwa na kuwa Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, alipokutana na wahariri wa vyombo mbali mbali vya habari, ambapo amesema hata hivyo kutunga katiba ya Tanganyika si tatizo kwa kuwa haitakuwa na mabadiliko mengi.
Source!
East Africa radio!
Yes indeed!Hivi, hizo serikali tatu zote zitakuwa na katiba yake au?
Yes indeed!
Si alisema Tanganyika imevaa koti la Tanzania!
Itakuwa balaa, tuombe mungu dege lianguke huu mkose uondoke