mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
ohoooo, naona kwa mbali JK akiongoza Tz hadi 2018 sababu katiba mpya inatoa provision for kipindi cha mpito hadi muda huo ili katiba ya Tanganyika na ya Zanzibar ziwe in place.This might be is strategy kwa kuanzisha mchakato wa katiba katika awamu ya pili ya uongozi! the guy is smart in his own way au ni yale yale ya greedy African leaders! They won o step down from power unless forced to do so
Happy new year mate... 🙂Ahaaa Kibs....what it do ma nigga?
Happy 2014 man....
Hivi, hizo serikali tatu zote zitakuwa na katiba yake au?
Aliyevaa koti ndiye haonekani .............. au koti ndiyo limemficha!!?? Lakini hapa Jaji Warioba asilete utani, katiba ya Tanganyika itakayofanyiwa marekebisho ni ipi hiyo!!??