johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Afadhali ya Warioba na Werema Wanauthubutu wa KUSEMA KATIBA MPYA ni MUHIMU kuliko KABUDI,POLEPOLE na KIGWANGALA wanaosifia KATIBA ILIYOPOHapa ndipo ujinga wetu waTz ulipo mtu akitaja tu katiba ni lazima irekebishwe tayari wanamuamini.
Huyu warioba kaishi na hito katiba kwa muda mrefu na ameitumikia kwanini hakujiuzuru kuwa katiba haifai?..
"... ni heri mkawapa wananchi katiba mpya wakati hawaihitaji kuliko kusubiri wakaidai". Haya maneno yamejaa busara na hekima nyingi sana japo sikumbuki yalitamkwa na nani.Mdemkaji jasho litamtoka, Mwacheni Samia asubiri critical mass ndiyo atajua dagaa Ni kitoweyo!
Mwalimu J K Nyerere!"... ni heri mkawapa wananchi katiba mpya wakati hawaihitaji kuliko kusubiri wakaidai". Haya maneno yamejaa busara na hekima nyingi sana japo sikumbuki yalitamkwa na nani.
... apumzike kwa amani Mwl. Nyerere; jemedari wa nyakati zote!Mwalimu J K Nyerere!
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi.
Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya...
Prof wa jalalani. Akiwa mjumbe wa Kamati ya Warioba ya kukusanya maoni ya wananchi. Kabla ya kumezeshwe tonge kubwa na kuvimbiwa na kukengeuka wakiwa na Mr. Slow slow."... ni heri mkawapa wananchi katiba mpya wakati hawaihitaji kuliko kusubiri wakaidai". Haya maneno yamejaa busara na hekima nyingi sana japo sikumbuki yalitamkwa na nani.
... shukrani Mkuu, johnthebaptist kaniingiza chaka hapo juu! Kumbe aliyatamka yale maneno kipindi kile roho wa hekima na maarifa akiwa juu yake; tangu aanze kushiriki mezani pa waovu roho yule amemtoka ndio hayo tunayoshudia leo kutoka kinywa kile kile kilichoongea kwa busara ya ajabu nyakati zile, leo ni kinyume kabisa!Prof wa jalalani. Akiwa mjumbe wa Kamati ya Warioba ya kukusanya maoni ya wananchi. Kabla ya kumezeshwe tonge kubwa na kuvimbiwa na kukengeuka wakiwa na Mr. Slow slow.
Hapa ndipo ujinga wetu waTz ulipo mtu akitaja tu katiba ni lazima irekebishwe tayari wanamuamini.
Huyu warioba kaishi na hito katiba kwa muda mrefu na ameitumikia kwanini hakujiuzuru kuwa katiba haifai?...
Sema wewe ndio uifahamu ila sio kuwasemea wengineNchi ngumu hii,
Watu wanataka kubadili Katiba ambayo hata hawaifahamu...
Wewe pia huifahamu.Sema wewe ndio uifahamu ila sio kuwasemea wengine
Baada ya shibe hadi kuvimbiwa wanatapikia wananchi.Prof wa jalalani. Akiwa mjumbe wa Kamati ya Warioba ya kukusanya maoni ya wananchi. Kabla ya kumezeshwe tonge kubwa na kuvimbiwa na kukengeuka wakiwa na Mr. Slow slow.
kudai katiba ni unafiki? be seriousHapa ndipo ujinga wetu waTz ulipo mtu akitaja tu katiba ni lazima irekebishwe tayari wanamuamini...