Declasfied
New Member
- Nov 7, 2022
- 3
- 5
Iko hivi Celebrities waliojitokeza kwa wingi kwenye kinyang'anyiro hiki walipigiwa simu wakaombwa waje kugombea UNEC kimkakati, target ni kudhibiti mjadala baada ya matokeo yenu waadhibiwe pamoja na nyie ili umma uamini matokeo ni sahihi, lilikuwa ni igizo. 2030 amueni muungane au mkubali kutoswa wote.
Wanaofanya hivi wana mtu wao ambae sio miongoni mwenu, wanafanya kosa kama alilofanya Magufuli, Mkiungana nyie hawa watalia machozi ya damu kama anayolia bashiru na wenzake hivi sasa. Msikubali kuumiwa tena, Nimemaliza.