Declasfied
New Member
- Nov 7, 2022
- 3
- 5
Hafai hata kuwa DiwaniOk ,achana na "wananifanya hivi"... Wee unaona Makamba ni Mtu wakufaa kua Rais?.
Simlisema, Akiwepo JK hamna kitakachoharibika?
Subirini tu 2025 mshangazwe na mtashangazika kwelikweli!!.
Haya ni majangili ya taifaMakamba ameishaponzwa na wizi wake.
Lakini pia ameponzwa na Tabia ya Baba yake ya uropokaji na kushangilia kifo cha JPM!
Mwigulu ameponzwa na Tozo kibao pamoja na unafiki wake pia.
Alipokuwa Hai JPM alijifanya Mwanamapinduzi.
Alipofariki JPM akageukia kwa Samia Na walamba Asali group.
Kwa ujumla wao Makamba na Mwigulu hawatufai.
Nchi hii haitafanikiwa kama itaendelea kushikiwa akili na "Wanamtandao wa CCM"
Kikwete,Kinana,Makamba kichwa mbovu na genge lao wote.
Eti ??!!Ok ,achana na "wananifanya hivi"... Wee unaona Makamba ni Mtu wakufaa kua Rais?.
Simlisema, Akiwepo JK hamna kitakachoharibika?
Subirini tu 2025 mshangazwe na mtashangazika kwelikweli!!.
Duh, are u one of them?Tumeshaapizana hao wanamtandao mwisho wao 2025. Ikishindikana hii nchi tuigawe kila mtu ashike kipande chake
No sir, mimi sipo huko kabisa. Kiu yangu ni kuona mama Tanzania na watoto wake wakineemeka chini ya utawala wenye hofu ya MunguDuh, are u one of them?
Aisee.......Iko hivi Celebrities waliojitokeza kwa wingi kwenye kinyang'anyiro hiki walipigiwa simu wakaombwa waje kugombea UNEC kimkakati, target ni kudhibiti mjadala baada ya matokeo yenu.
Waadhibiwe pamoja na nyie ili umma uamini matokeo ni sahihi, lilikuwa ni igizo 2030 Amueni Muungane au mkubali kutoswa wote.
Wanaofanya hivi wana mtu wao ambae sio miongoni mwenu, wanafanya kosa kama alilofanya Magufuli, Mkiungana nyie hawa watalia machozi ya damu kama anayolia bashiru na wenzake hivi sasa. Msikubali kuumiwa tena, Nimemaliza.
Mimi makamba akiwa Rais nahamia burundiOk ,achana na "wananifanya hivi"... Wee unaona Makamba ni Mtu wakufaa kua Rais?.
Simlisema, Akiwepo JK hamna kitakachoharibika?
Subirini tu 2025 mshangazwe na mtashangazika kwelikweli!!.
Hutahama....Mimi makamba akiwa Rais nahamia burundi
Noma sana!Nimeishi na MAPAKA muda mrefu sana.
Sijawahi ona MAPAKA yakila Kwa ustaarabu kwenye sahani hata kama chakula ni kingi.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Pia Kuna ka msemo kuwa,
"There is no EVIL PLAN without a mistake".
Baada ya 2026, hapatakuwa na chama Cha mambuzi!!