Warning: Kuna watu hawana hata chembe ya huruma

Warning: Kuna watu hawana hata chembe ya huruma

Hakuna ukweli, haya ni maigizo ya kinaijeria

kama unafikiria nimaigizo ya kinijeria uliza wa2 wanaofanya hiyo ki2 hususani wakurya na makabila mengine ambao hii ki2 wanafanya
 
What am i ridin hia!!!? Fab plz?? kwa mtoto wa kiume???

walahi...mwanangu wa kiume mie namuacha na govi lake,akikua kama atapenda atakata mwenyewe....huu upuuzi wa kumkata akiwa mdogo sitafanya...ni kumuumiza tu
 
Oh my GOD!!!

This is when one takes a gun and shoot the bird or something... Dah
 
Stimu kwa wanawake imekatika, nanihiii yangu is no longer in use....!!!
 
circumscion haina mpango!...
iwe kwa mtoto wa kike au kiume...,ni unyanyasaji tu

Labda una maanisha ile inayofanyika "kijadi" na sio ile inayofanyika kwenye mahospitali.
Au ni blanket statement .. kwamba circumcision haifai regardless ya mazingira inapofanyiwa?
 
Labda una maanisha ile inayofanyika "kijadi" na sio ile inayofanyika kwenye mahospitali.
Au ni blanket statement .. kwamba circumcision haifai regardless ya mazingira inapofanyiwa?

kijadi...
hata hivyo hopitali mwanangu pia simpeleki mpaka mtu anihakikishie ni pain-free procedure...:teeth:
 
kijadi...
hata hivyo hopitali mwanangu pia simpeleki mpaka mtu anihakikishie ni pain-free procedure...:teeth:

Mpeleke kwa wanaume kuna ile ganzi na after that inakuwa pain free otherwise mtoto atakuwa na vijihoma vya hapa na pele na kwa wanaume asipofanyiwa inakuwa sio mzuka sana mpeleke tu ni sindano ya ganzi ndo atasikia maumivu baada ya hapo hakuna ila kidudu kikisimama maumivu lazima siunajua ile asubuhi lazima kisimame ...
 
Yaani nilidhani kuna jipya, kumbe ni hio kutolewa kofia? i went through da same process, nyie si mlipelekwa kwa hosp ndo maana wengi wenu mnaishia njiani...hio ngoma hapo unaishia kupiga kelele tu but you will never drop a tear!! yaani unamaliza mkavu, nilifanyiwa when i was about six or above so naikumbuka event vizuri!!! sasa mmmhh tatu hadi nne ni kitu cha kawaida kwangu, msiseme!
 
Aisee, kweli kuna watu wanadeserve kutangulia kufa...
 
kama ni wa kike haifai kabisa. lakini kama ni wa kiume katia mbali hiyo albanun filhyat dunia yupia mbwa kabisa . itakujakumsaidia kutopata magonjwa kiraisi kama ukimwi na nk.
 
Yaani nilidhani kuna jipya, kumbe ni hio kutolewa kofia? i went through da same process, nyie si mlipelekwa kwa hosp ndo maana wengi wenu mnaishia njiani...hio ngoma hapo unaishia kupiga kelele tu but you will never drop a tear!! yaani unamaliza mkavu, nilifanyiwa when i was about six or above so naikumbuka event vizuri!!! sasa mmmhh tatu hadi nne ni kitu cha kawaida kwangu, msiseme!
huyu ni wa kike sio wa kiume
 
Nakumbuka signature moja ya mwana JF inasema,
kuna watu wengine wako hai kwa sababu tu ni kosa la jinai kuwaua.
 
mod toa hiyo pic plz its painful and haifundishi kitu sana sana inamdhalilisha mwanamke
 
Back
Top Bottom