WARNING:Tummy tuck operation full video(opearation ya kutoa kitambi)

WARNING:Tummy tuck operation full video(opearation ya kutoa kitambi)

Mkuu Zasasule hauko nyuma na wewe kuhusu JF Doctor? umetoroka kule Tech, Gadgets & Science Forum Unatuwekea

Oparesheni ya kukata mafuta kwenye utumbo? Ahhh Ma-Dakatari wa Kibongo bado hawajaweza kufikia Stage

hiyo mkuu. Sisi Wengine tunatumia Dawa zetu za Kienyeji Mitishamba kupunguza mafuta ,unene na Vitambi

Tembelea hapa ujionee wewe mwenyewe bonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...zito-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini.html

poa wacha nicheck!!!
 
Mhhh,nimeogopa hasa,mie mtu wa tizi kila siku,mungu awanusulu wenye tatizo hili.
 
Back
Top Bottom