Bwana SIKAZI alikuwepo kwenye harusi ya MAX.
Tena alikuwepo toka kanisani mpaka ukumbini!
Sasa ndio mshindwe kushangaa, ila haina neno, tuna m monitor kwa karibu.
...........Mpitanjia nilikuona, Yona fare Maro nilikuona kanisani na ukumbini, Halisi alikuwepo, Kitila nilikuona Mnyika tuliongea nani tena nimemsahau? haaaa bwana wa kutoka pande za pwani asante kuja toka Tanga sitakutaja jina la JF........
.....haya jamani......nafikiri mmeshamuona