WARNING

WARNING

Wanapenda hela lkn nina mengi ya kulisemea hili
 
Teh teh teh ha ha ha! nkiambiwaga hvyo hua nachomekea story ya mauongo mpaka mwenyewe analewa na anasinzia
 
teh,unamwambia nawe baby nkwambie kit,cmu yang inazima sas iv....
 
wamezidi kuombabomba aisee, mie akishasema hivyo hapo hapo nasepa
 
Back
Top Bottom