HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Bob Marley alizaliwa na mama mweusi na baba mweupe.
Japo alikuwa na ukoo mweupe, Bob Marley alijitambulisha kama Mwafrika Mweusi na alikuwa mtetezi hodari wa Pan-Africanism.
Hili lilidhihirishwa na onesho alilofanya huko Roma- Italy mwaka 1980 na kujaza uwanja kwa idadi kibwa ya watu kufikia 90,000 pamoja na uvutaji bangi wake.
Iwapo Roma ambako ukristo umejaa waliamini hivyo kwanini basi isiwe wazi sasa kuwa ni wakati mzuri wa kuwaibua MANABII WA AFRIKA na kusimamia unabii wao.
NABII WA AFRIKA HAKUBALIKI KWAO"