Waroma wanaamini Bob Marley ni NABI MWEUSI lakini waafrika wafia dini wanaamini manabii ni mohamad na yesu tu

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Bob Marley alizaliwa na mama mweusi na baba mweupe.

Japo alikuwa na ukoo mweupe, Bob Marley alijitambulisha kama Mwafrika Mweusi na alikuwa mtetezi hodari wa Pan-Africanism.

Hili lilidhihirishwa na onesho alilofanya huko Roma- Italy mwaka 1980 na kujaza uwanja kwa idadi kibwa ya watu kufikia 90,000 pamoja na uvutaji bangi wake.

Iwapo Roma ambako ukristo umejaa waliamini hivyo kwanini basi isiwe wazi sasa kuwa ni wakati mzuri wa kuwaibua MANABII WA AFRIKA na kusimamia unabii wao.

NABII WA AFRIKA HAKUBALIKI KWAO"
 

Attachments

  • 2025_04_26_06.26.15.png
    1.5 MB · Views: 39
  • 2025_04_26_06.25.48.png
    505.2 KB · Views: 30
hoja yako ni nini unataka kila wanachoamini waroma na sisi tukiamini?? maana ya nabii n nini '.???
 
Manabii weusi mbona wengi Africa? Mwamposa, Mwingira, MASHIMO, Suguye , Katunzi? Tanzania tu wanafika zaidi ya elfu 1!

BTW, hujaweka ushahidi wa Waroma kumtambua Bob Marley kama nabii! Zaidi ya Waitaliana kuhudhuria concert la muziki! Ambapo Rihanna hufanya hivyo pia!

Ikiwa unabii wa Africa ni kuvuta bangi tu, tuachane nao!
 
Bob marley hakuwahi kujitambulisha mweusi ila alikuwa mwanaharakati wa black movements

Interview yake moja anasema

I'm neither black nor white
Afadhari umemjibu mleta uzi, wengine tulikuwepo duniani wakati Bob yupo, Bob hajawahi kujitambulisha kama black man, huyu mleta uzi asijekua anawachanganya na Lucky Dube wa SA. Again, hivi mtu huaga ana rithi damu na race yake ubabani au ujombani? Ni kweli Bob kalelewa ujombani (Jamaica) na sio ubabani (Uingereza) but hiyo haimuondolei kua na DNA za Kizungu. Ingawa ni kweli nyimbo zake na hisia zake zili base zaidi ujombani (weusi ) kuliko ubabani cause ndio tuliokua tuna onewa zaidi dunani, nchi za Africa most of them zilikua chini ya ukoloni. RIP Bob
 
Nabii Ibrahim, Yusufu, Yakub,Daud wapo manabiii weeengi sana
 
hoja yako ni nini unataka kila wanachoamini waroma na sisi tukiamini?? maana ya nabii n nini '.???
Kwa akili nyembamba uliyo nayo huwezi kuelewa chochote kwani ktk uandishi pia kuna style zake kwahiyo jiongeze
 

Attachments

  • 2025_04_26_14.18.23.png
    567.5 KB · Views: 37
  • 2025_04_26_14.21.58.png
    687.5 KB · Views: 36
Wazungu ni wajanja sana. They stole everything from us. Hata athletes na entertainers unawaona ni malegend. Mfano kwenye ngumi? Kwenye mpira? Kwenye kikapu? Kwenye tenis? Kwenye miziki karibu genre za aina zote ( kwanza miziki aina karibu zote ziligenerate from Africa.

Sasa Hawa watu ni malegendary na maarufu lakini believe it 1000yrs from now they will be labelled white kama tutaendelea kukaa kimya na white race ikiendelea kuthrive.

Unaambia ( Kiuhakika Jews were black, Jesus was black and pyramid and all the ancient civilizations was black but they changed it. Because we blacks hatujali. Angalia historia ya Tanganyika eti ukirefer zamani sana ni majimaji war.... Real!???.

Hata sasa Kuna blacks wengi sana wamechukuliwa Africa wako hukonkwa wazungu na Wana contribute sana in all fields of life but wazungu hawaandiki kuhusu wao. Wanaficha.

Wazungu ni wajanja sana , wametuzidi ujanja tu ila si akili na maarifa.

Ujanja ni kujua kuwa vizazi vijavyo miaka 1000 ijayo vitatusomaje..... Then unatengeneza mazingira ya kuacha historia.

Unaweza kuwa na akili na maarifa ila usiwe mjanja ndio maana maprofessa wengi na wasomi Africa wanalamba wanasiasa miguu.

Waarabu wamekuja juzi Africa wamezika watu wao kibao baada ya kuwakausha kwa chumvi. Sasa wanawafukua na kusema ni Mummies ili kuligitimize wao kuwa pale.

Foolish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…