Hii court ingekuwepo wakati wa Mandela nae angekuwa arrested,
Wandugu naona mmesahau kua Bashir ni president aliechaguliwa na wananchi, na hawa wa Darfur ni MAREBO kama walivyo kua marebo wengine kule:
Uganda, Koni
Somali, Ashababu, islamic court
Congo, Nkunda, bemba
Afghan, alqaida na Taliban
Iraq, alqaida na wengine
Philipino, moro-fighter
Srilanka, tamil tiger, nk,
hawa wote wanaotumia Violence kukamilisha objectives
Sirikali zote hizo zinapata kila aina ya support kutoka mataifa makubwa, hakuna sababu kwa nini BASHIR asipewe support kuwatokomeza hawa marebo? isitoshe hawa wa Dafur hawana agenda inayoeleweka, Bashiri aliwaitisha vikao vingi hawataki kudhuria wote, kuna vi-group ving hakuna wa kuongea nae
naamini kabisa leo hii ukianzisha urebo Iran utapata support na coverage kubwa na Ahmed Najadi atakua criminal kama Bashir, lakini ukianzisha urebo Tanzania n,k kwa sababu wan maslai, JK atapata full support na silaa nzito za kivita atapata, na ndo maana AU na Arab league hawakubalini na hiyo arrest warrant.
Hii ndo double standard inayo laaniwa duniani kote, tusikubali kuburuzwa, tufanya analysis wenyewe