Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
-
- #21
Binti - sawa sawa ulivyosema kama kuweka pesa kwenye stock ni kamari. Katika historia ya Stock market watu wawili tu waweweza kutajirika kwa ku-invest kwenye individual stock alone. Mmoja wapo ni Buffet na tunaelewa ni kwa nini. Hata yeye mwenyewe amesema watu wa kawaida wa-invest kwenye index funds angalau itawarudishia 8%.
Watu weupe/weusi/wekundu kuwa smart kuliko wengine ni tautalogy.
¬K
Google it!...
You should know better.
Have yo tried to google it before asking me to google it? What language is that? Certainly not an english word so I wanted some insight, as some people are disposed to throw in some latin and even Nastradamic French here and there for effect.
You should know better than to ask me to google something.
Why, I gave you "GIYF"
Shame on you!
na kwa nini iwe shame on me?....najaribu kukusaidia ww uliyeuliza jamani kiranga don't be that sensitive duh...Nimekwambia hivyo ili ukishapata maana yake on google uje utueleze na siye wengine hapa.....that is my whole point!....
Siyo kila anayeuliza anataka kusaidiwa, are you familiar with "the Socratic method"?
I think the word is tautology not taotalogy..."having same meaning/expression".....
No i am not enlighten me my brother!..ndiyo kuelimishana atiii!....
Sasa hata hiyo tautology haiko applicable hapo.
Usinimeze mimi maana mimi siyo niliyetumia hilo neno!....i was just trying being a good samaritan!....
Haya feel me in about "socratic method" honey!...na ulivyo na kiranga utaanza ooh mimi siyo honey wako...hicho ni kivumishi tuu m2wangu usikonde sawa.
Binti - asante kwa kusahihisha hilo neno tautology. Hichi kigugumizi cha vidole bana!
Kiranga lizime kidogo - wengine tuna familia zinahitaji kulishwa na pia maisha nje ya jamvi la JF - no offence.
Binti/Kiranga
Hapo nilikusudia unaweza kupachika mtu wa kabila au rangi yeyote na hiyo itakuwa ni ukweli.
"Nina uhakika kwamba mtajibu au hamtojibu hii message yangu" ni tautology pia
¬K
you dont just make it if you cant do ur risk assesment in this field. now where is the risk assesment in the field in question au una zani angekuwa succesful tu kwa kufumba macho na kutupa hela. they're over a million successful investors in the west Buffets tops them all . maswali mengine kama hamuelewi how things work just shusssh. and stick to jukwaa la mapenzi
samahani kama nakaua nawakosea, hila mida hii mara nyingi huwa im budweisering na ku-comment, hivyo there is a lot to understand in certain fields na sipendi kuona maswali pumba based on what i read.Kaka wafahamishe na sio kuwatolea ukali ni ushauri tu mzee
both..
skills and lucky......
Umesema principles za economics hapa hongera sana mkuu wanguNaseem naona haelewi kwani Warren amefanikiwa kwasababu Warren has four main principle mie nilipokuwa namsoma.
1. Warren invest in a company since he is an investor. Traders and many like us we speculate the market na hivyo basi we are just merely speculator and we go with the market moments.
2. Warren uses the fundamentals of the analysis. He usually dedicate the whole morning reading news paper and financial reports before making his decision. We are rellying on market momentum (either price or earnings) and some of us are or follow the market trends.Under the belief that the market will continue to perform well but no ones knows what the future holds.
3. Warren does not borrow. We borrow to invest and when the investment goes bust we are bankrupt (example the short selling technic is a disaster).
4. Know the company and People. Most of us we invest in a company that we do not know and even care to know them and this is a disastrous as stocks that we buy are rights of company ownership and the company are managed by people now if you have poor management the stocks value will decline so as the value of your investment. Warren was one time invited to Goldman Sachs to help them with their management issues, he even put his reputation on line to save Goldman Sachs.
Sasa ukiangalia hivi vitu ndio vimemfanya jamaa amekuwa the most successful stock trader in the world. Simply he is just following the basic fundamental of finance which most of us do not follow due to our impatience.