Warren Buffet Smart or lucky?...

Warren Buffet Smart or lucky?...

Binti - sawa sawa ulivyosema kama kuweka pesa kwenye stock ni kamari. Katika historia ya Stock market watu wawili tu waweweza kutajirika kwa ku-invest kwenye individual stock alone. Mmoja wapo ni Buffet na tunaelewa ni kwa nini. Hata yeye mwenyewe amesema watu wa kawaida wa-invest kwenye index funds angalau itawarudishia 8%.

Watu weupe/weusi/wekundu kuwa smart kuliko wengine ni tautalogy.

¬K

uKitaka kuondokana na umasikin inabidi uacipende ku apply hizi credit card...zinakulete aumasikini sana ukiwa na credit card unaitumia tuu malipo yake yanakuwa more than ulivyospend...ni afadhali hiyo pesa uipeleke kwenye savings....sis watu weusi bana hapo ndiyo tunapoharibu na utakuta 99% ya tuna file for banfrupt becuase we dont use our brain kuwa hapa nafanya wrong watu hawa wa visa wanatuibia sana.....then sisi tunaona kupelekwa kwenye credit beural tumewin...
 
Google it!...

You should know better.

Have yo tried to google it before asking me to google it? What language is that? Certainly not an english word so I wanted some insight, as some people are disposed to throw in some latin and even Nostradamic old French, if not Shakesperean English here and there for effect.

You should know better than to ask me to google something.

Why, I gave you "GIYF"

Shame on you!
 
You should know better.

Have yo tried to google it before asking me to google it? What language is that? Certainly not an english word so I wanted some insight, as some people are disposed to throw in some latin and even Nastradamic French here and there for effect.

You should know better than to ask me to google something.

Why, I gave you "GIYF"

Shame on you!

na kwa nini iwe shame on me?....najaribu kukusaidia ww uliyeuliza jamani kiranga don't be that sensitive duh...Nimekwambia hivyo ili ukishapata maana yake on google uje utueleze na siye wengine hapa.....that is my whole point!....
 
Siyo kila anayeuliza anataka kusaidiwa, are you familiar with "the Socratic method"?

Jamaa yako mbona mitini sana tu?

Watu wanakuja ku throw non words tu around, can you imagine that?

They are not even throwing words around, they are throwing non-words around, with no understanding no context.

Bahati yake kakimbia.
 
Siyo kila anayeuliza anataka kusaidiwa, are you familiar with "the Socratic method"?

I think the word is tautology not taotalogy..."having same meaning/expression".....

No i am not enlighten me my brother!..ndiyo kuelimishana atiii!....
 
I think the word is tautology not taotalogy..."having same meaning/expression".....

No i am not enlighten me my brother!..ndiyo kuelimishana atiii!....

Sasa hata hiyo tautology haiko applicable hapo.
 
Sasa hata hiyo tautology haiko applicable hapo.

Usinimeze mimi maana mimi siyo niliyetumia hilo neno!....i was just trying being a good samaritan!....

Haya feel me in about "socratic method" honey!...na ulivyo na kiranga utaanza ooh mimi siyo honey wako...hicho ni kivumishi tuu m2wangu usikonde sawa.
 
Ninafikiri Malcolm Gladwell did a good job of explaining why some people succeed/more likely to succeed than others in his bestselling book "Outliers". I have seen similar articles by him on The New Yorker. The Gladwell theory may apply to Mr. Buffet as well. Get yourself a copy.
 
Usinimeze mimi maana mimi siyo niliyetumia hilo neno!....i was just trying being a good samaritan!....

Haya feel me in about "socratic method" honey!...na ulivyo na kiranga utaanza ooh mimi siyo honey wako...hicho ni kivumishi tuu m2wangu usikonde sawa.

Google it

Hahahaha

Don't start non' and there will b non', lol.
 
Binti - asante kwa kusahihisha hilo neno tautology. Hichi kigugumizi cha vidole bana!
Kiranga lizime kidogo - wengine tuna familia zinahitaji kulishwa na pia maisha nje ya jamvi la JF - no offence.
Binti/Kiranga
Hapo nilikusudia unaweza kupachika mtu wa kabila au rangi yeyote na hiyo itakuwa ni ukweli.
"Nina uhakika kwamba mtajibu au hamtojibu hii message yangu" ni tautology pia

Kuli...Anytime my dear!....nobody is perfect kila mtu ana weakness yake....so huyu kaka Kiranga asikupe tatizo kabisa....
 
Naseem naona haelewi kwani Warren amefanikiwa kwasababu Warren has four main principle mie nilipokuwa namsoma.

1. Warren invest in a company since he is an investor. Traders and many like us we speculate the market na hivyo basi we are just merely speculator and we go with the market moments.

2. Warren uses the fundamentals of the analysis. He usually dedicate the whole morning reading news paper and financial reports before making his decision. We are rellying on market momentum (either price or earnings) and some of us are or follow the market trends.Under the belief that the market will continue to perform well but no ones knows what the future holds.

3. Warren does not borrow. We borrow to invest and when the investment goes bust we are bankrupt (example the short selling technic is a disaster).

4. Know the company and People. Most of us we invest in a company that we do not know and even care to know them and this is a disastrous as stocks that we buy are rights of company ownership and the company are managed by people now if you have poor management the stocks value will decline so as the value of your investment. Warren was one time invited to Goldman Sachs to help them with their management issues, he even put his reputation on line to save Goldman Sachs.

Sasa ukiangalia hivi vitu ndio vimemfanya jamaa amekuwa the most successful stock trader in the world. Simply he is just following the basic fundamental of finance which most of us do not follow due to our impatience.
 
you dont just make it if you cant do ur risk assesment in this field. now where is the risk assesment in the field in question au una zani angekuwa succesful tu kwa kufumba macho na kutupa hela. they're over a million successful investors in the west Buffets tops them all . maswali mengine kama hamuelewi how things work just shusssh. and stick to jukwaa la mapenzi
 
Kaka wafahamishe na sio kuwatolea ukali ni ushauri tu mzee
 
Kaka wafahamishe na sio kuwatolea ukali ni ushauri tu mzee
samahani kama nakaua nawakosea, hila mida hii mara nyingi huwa im budweisering na ku-comment, hivyo there is a lot to understand in certain fields na sipendi kuona maswali pumba based on what i read.

nisicho penda ni ideas za watu wanaokuja na kutoa simple explantions as if every one can do it, with eyes shut

To understnad buffet you have to understnad the market now he is somehow part of the market, he doesnt do it for money any more but just for the thrill of it. Here is a man who can manipulate the market just by investing. bado ujue kuna ufisadi mpaka kwenye money market, which is 80% based on know how.

its deeper and longer if you follow it lakini mtu aje tu is buffet lucky or a genius without an iota of explanation ndio nachukiaa.
 
Smart people use other people's money to make money, they even use other people's intelligence to make money!!!!!!!!!!!!!!!!

Good entrepreneurs are never afraid to take risks, big risks sometimes AND THE BIGGER THE RISK THE BIGGER THE TAKE or "FALL" but not just risks, but CALCULATED RISKS based on market intelligence, even espionage and with an "ear to the ground" they make strong analysis of the information and presented opportunities, then they take the risk.

SO one is SMART, KEEPS THEIR EYES AND EARS OPEN, THEIR BRAINS TICKLING, they ask difficult questions, finally decide, THEY ARE RISK TAKERS AND LUCK MAKES SOME SUCCEED
 
Naseem naona haelewi kwani Warren amefanikiwa kwasababu Warren has four main principle mie nilipokuwa namsoma.

1. Warren invest in a company since he is an investor. Traders and many like us we speculate the market na hivyo basi we are just merely speculator and we go with the market moments.

2. Warren uses the fundamentals of the analysis. He usually dedicate the whole morning reading news paper and financial reports before making his decision. We are rellying on market momentum (either price or earnings) and some of us are or follow the market trends.Under the belief that the market will continue to perform well but no ones knows what the future holds.

3. Warren does not borrow. We borrow to invest and when the investment goes bust we are bankrupt (example the short selling technic is a disaster).

4. Know the company and People. Most of us we invest in a company that we do not know and even care to know them and this is a disastrous as stocks that we buy are rights of company ownership and the company are managed by people now if you have poor management the stocks value will decline so as the value of your investment. Warren was one time invited to Goldman Sachs to help them with their management issues, he even put his reputation on line to save Goldman Sachs.

Sasa ukiangalia hivi vitu ndio vimemfanya jamaa amekuwa the most successful stock trader in the world. Simply he is just following the basic fundamental of finance which most of us do not follow due to our impatience.
Umesema principles za economics hapa hongera sana mkuu wangu
 
Unajua the guy has someskills no else has yeye ana buy companies at a lower prices and then sell at a high
prices. Pia hanunui stocks based on market prices or market expectations kwani hakubaliani na argument that markets are efficient. Yeye hukaa akacalculate na rafiki yake wa siku nyingi value za stocks. Na ndio maana anadrive markets kwasababu investors wengi wanamtrust. Alinunua stake za kampuni ya reli iliyokuwa nearly kufilisika, prices za kampuni hiyo zikapanda sana.

Vilevile nikirudia point Warren anainvest huwa anaangalia jinsi aisaidie ile kampuni au wanamatatizo gani hivyo when it goes to a negotiation table huwa anawaambie nini wafanye ili awekeze.sasa that is investing na sio speculation unabuy Leo kesho wauza
 
Back
Top Bottom