Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hehehe!! Umewaumbua balaa, japo lugha gongana, wengi hawataelewa hata umeandika nini.
Mmeanza ku j i t o m b e s h a tena, Tumewapiga na itabakia hivyo. Huwezi badili historia.wacha watafute google translate sasa
Makala ndio uwezo wao unapoishia, action yanasikia kwa majirani tu.Juzi kati tu al shabab wameingia kenya na kuwachukua wa cuba wawili,yan sijaona nchi inayoteswa kama kenya,ethiopia uwa anavuka border ya kenya na kufanya anavyotaka,al shabab,Tanzania tuliingia kenya tukamchukua mtu wetu,tukakaa nae hadi tulipoamua wenyewe kumrudisha!vikosi vya usalama vya kenya ni weak
Hawawezi kusimama kwa miguu yao wenyewe, mpaka wajitombeshe kwetu ndo wansikia raha.Kenyans again? Bila kuisema TZ hamuwezi kuishi? Kifupi mnawashwa sana.
Kwani mambo ya Tz huwa yanawawasha nn?Fuata huu uzi hapa chini uone jinsi ukilaza wa kutokujua kingereza unasababisha majaji wenu wawatese sana Watanzania, yaani jamii yenu inatia huruma, mnaishi ovyoo sana https://www.jamiiforums.com/threads/majaji-wa-tanzania-hawajui-kiingereza-tundu-lissu.347785/
ha ha ha the Bongo civilians have never been involved in any internal conflict.We started fighting before your country got independence
Mkuje even ukara island even by military training mistake you will notice our respondNumbers don't lie, nyinyi ni kuongea tu. Bring your facts.. war is not won by saying how tough you are.
dispute the facts i put there
Tuambie wapi tulishindwa! Nyinyi sehemu nyingi mmeshindwa.Numbers don't lie, nyinyi ni kuongea tu. Bring your facts.. war is not won by saying how tough you are.
dispute the facts i put there
Simtujaribu muone moto!By the way TPDF haijawahi kwingia vita akiwa peke yake, lazima kuwe na Nchi zingine alafu unapata wakiimba ule wimbo wa "tulipigania Afrika". TPDF ni rag tag army hata saa hii h2h dhidi ya Uganda, watachapwa ka burukenge. Ikifika ni Rwanda inakuwa pyrric victory kwa jwtz.
Kwani mambo ya Tz huwa yanawawasha nn?
Kingereza ni lugha kama kisambaa tu, kwangu hakina impact yyte untill nakufa, huwa nakijua lakin siwezi jivunia kuongea lugha za watu.
Kwanini niwe mtumwa, kwanini nibebwe na upepo kama bendera, my mother language ndio ninayoikubali kuliko hata hii ninayoongea hapa.
Kwani uliwahi kusikia tunashindana na kingereza??Ni lugha kama kisambaa lakini imewashinda kwa mlivyo wazembe.
Hawa jamaa si wanajiita watoto wa malkia...sasa kama malkia ni mama yao mzazi sijui Kenyatta atakuwa ni nani yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani uliwahi kusikia tunashindana na kingereza??
Lini, wapi, na kwanini nishindane na lugha ili inipatie nini??
Endeleeni kujinyegesha kwetu mana najua bila hivyo hamuwezi kuishi.
Wote wana nyapu(sio tusi ninkiungo).Hawa jamaa si wanajiita watoto wa malkia...sasa kama malkia ni mama yao mzazi sijui Kenyatta atakuwa ni nani yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuwezi ingia kingese namna hiyo maana intel tuko njema.Nipatiwe mfano wa nchi ambayo jwtz imeingia kichwa kichwa bila usaidizi.
Juzi kati tu al shabab wameingia kenya na kuwachukua wa cuba wawili,yan sijaona nchi inayoteswa kama kenya,ethiopia uwa anavuka border ya kenya na kufanya anavyotaka,al shabab,Tanzania tuliingia kenya tukamchukua mtu wetu,tukakaa nae hadi tulipoamua wenyewe kumrudisha!vikosi vya usalama vya kenya ni weak
Usikimbie bas kwanza...Kdf inashambuliwa kwa mabomu tpdf wanashambuliwa kwa mapanga.
THREAD CLOSED