Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Juzi kati tu al shabab wameingia kenya na kuwachukua wa cuba wawili,yan sijaona nchi inayoteswa kama kenya,ethiopia uwa anavuka border ya kenya na kufanya anavyotaka,al shabab,Tanzania tuliingia kenya tukamchukua mtu wetu,tukakaa nae hadi tulipoamua wenyewe kumrudisha!vikosi vya usalama vya kenya ni weak