"Wars" fought by Tanzania

ggenerale umekubali kuwa mapanga yaliwafanyia kazi tpdf waliojiami kwa silaha za kisasa? Jeshi lenu ni kama wanamgambo tu au kwa lugha ya utani rag tag army...bure kabisa. Now if you can excuse me sina time ya koroshow. Adios...
 
Unajua jinsi jamaa wa Al shaabab wanachowafanya.

Hivi kwanza zile story za wauza mka wa Al Shaabab mlifanikiwa kuzimaliza.

Kumbe ndio maana mnaogopa mapanga, maana yale ndo yanatumika kwenye mkaa.
 
Kawachokoze tuone
ggenerale umekubali kuwa mapanga yaliwafanyia kazi tpdf waliojiami kwa silaha za kisasa? Jeshi lenu ni kama wanamgambo tu au kwa lugha ya utani rag tag army...bure kabisa. Now if you can excuse me sina time ya koroshow. Adios...
 
@ggenerali mnyonge hachokozwi.
Acha mbwembe mzee hivi ile kesi ya El Adde iliishia wapi?

Huwezi kutuletea story kuwa una jeshi wakati mlinyooshwa mkiwa kwenye iyo battle kama watoto.

Next time usilete ndoto za mchana kwenye mambo ya maana kama haya..

Au kwenye iyo Battle Machine Gun zenu zillingia maji??
 
Hiyo ndio battle mbaya zaidi duniani kwa majeshi ya nchi kufanyiwa na kikundi cha magaidi

Magaidi waliwanajisi mpaka askari wa kdf kibaya zaidi kdf waliporwa mpaka deraya zao
 
Hiyo ndio battle mbaya zaidi duniani kwa majeshi ya nchi kufanyiwa na kikundi cha magaidi

Magaidi waliwanajisi mpaka askari wa kdf kibaya zaidi kdf waliporwa mpaka deraya zao
Alaf wanakuja hapa na story eti wao ni Mighty...

Hawa jamaa wanachoweza ni Kiingereza na kukopa bila hesabu kwa Mchina tu

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
M7 ndio level yao kajinyakulia kisiwa kiulaini
Tu

Kenya adui yake mkuu ni Somalia tu hana jeuri ya kupambana na Uganda Ethiopia wala Tanzania
Alaf wanakuja hapa na story eti wao ni Mighty...

Hawa jamaa wanachoweza ni Kiingereza na kukopa bila hesabu kwa Mchina tu

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
ggenerale ni kama ile ya black hawk down pale Mogadishu hata wa leo Marekani hajawahi isahau. Al shab wakawachiliwa dhidi ya dhaifu jwtz wanaingia ikulu pale salaam mchana kuepe, kumbuka watoto wadogo wamapanga walivyo wafanya pale drc...jeshi lenu kazi wanaweza ni kubangua korosho na kuvunja mawe.
 
Ama kweli nimeamini nyie ni watoto wa malkia.

Hebu nipe idadi ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha hapo DRC na mimi nikupe idadi ya nguvu kazi mliyopoteza kizembe pale El Adde...

Lakini pia mnasifika kwa kujinyonga nyie, isije ikawa ilikuwa ni SUICIDE MISSION
 
ggenerale tulipigwa 300, dhaifu tpdf kakatakatwa 14.
Sasa hapo kwa bangi za mchana tu nani dhaifu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siku nyingine usiwe unasahau kukojoa kabla ya kulala usije ukajikojolea tena...

Aya funga mada ukalale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…