Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua jinsi jamaa wa Al shaabab wanachowafanya.ggenerale umekubali kuwa mapanga yaliwafanyia kazi tpdf waliojiami kwa silaha za kisasa? Jeshi lenu ni kama wanamgambo tu au kwa lugha ya utani rag tag army...bure kabisa. Now if you can excuse me sina time ya koroshow. Adios...
ggenerale umekubali kuwa mapanga yaliwafanyia kazi tpdf waliojiami kwa silaha za kisasa? Jeshi lenu ni kama wanamgambo tu au kwa lugha ya utani rag tag army...bure kabisa. Now if you can excuse me sina time ya koroshow. Adios...
Acha mbwembe mzee hivi ile kesi ya El Adde iliishia wapi?@ggenerali mnyonge hachokozwi.
Hiyo ndio battle mbaya zaidi duniani kwa majeshi ya nchi kufanyiwa na kikundi cha magaidiAcha mbwembe mzee hivi ile kesi ya El Adde iliishia wapi?
Huwezi kutuletea story kuwa una jeshi wakati mlinyooshwa mkiwa kwenye iyo battle kama watoto.
Next time usilete ndoto za mchana kwenye mambo ya maana kama haya..
Au kwenye iyo Battle Machine Gun zenu zillingia maji??
Alaf wanakuja hapa na story eti wao ni Mighty...Hiyo ndio battle mbaya zaidi duniani kwa majeshi ya nchi kufanyiwa na kikundi cha magaidi
Magaidi waliwanajisi mpaka askari wa kdf kibaya zaidi kdf waliporwa mpaka deraya zao
Alaf wanakuja hapa na story eti wao ni Mighty...
Hawa jamaa wanachoweza ni Kiingereza na kukopa bila hesabu kwa Mchina tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ComoroNipatiwe mfano wa nchi ambayo jwtz imeingia kichwa kichwa bila usaidizi.
Ama kweli nimeamini nyie ni watoto wa malkia.ggenerale ni kama ile ya black hawk down pale Mogadishu hata wa leo Marekani hajawahi isahau. Al shab wakawachiliwa dhidi ya dhaifu jwtz wanaingia ikulu pale salaam mchana kuepe, kumbuka watoto wadogo wamapanga walivyo wafanya pale drc...jeshi lenu kazi wanaweza ni kubangua korosho na kuvunja mawe.