Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
wajiunge CHAUMMA, haina haja ya kuweweseka 🐒Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbazi imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbazi imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Walipo jaa vilaza waliokataliwa kwingineko sio?wajiunge CHAUMMA, haina haja ya kuweweseka 🐒
Siasa sio kila tunachotaka au Mgombea unayemtaka ndio apite. Kama wanamtaka yeye basi waanzishe chama chao tuone kama na wao hawatagombana!Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Walikuwa hawajui CCM ni wahuni na wauaji sasa wamejua.Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Duh mnavyopelekeshwa na kulazwa juwani 😄wajiunge CHAUMMA, haina haja ya kuweweseka 🐒
hakuna haja ya kubabaika na asieheshimu maamuzi ya vikao kwa manufaa ya chama na wananchi kwa ujumla gentleman.Duh mnavyopelekeshwa na kulazwa juwani 😄
Ova
si kweli ndugu mdau,Mwaka huu watu watepewa pesa na kubembelezwa kwenda vituoni kupiga kura..!!
Hamna watanzania tumewakataa na mbaya zaidi mpk wanachama wenu hawawataki..!!si kweli ndugu mdau,
hiyo ni ramli ya upotoshaji
mamilioni kwa mamilioni ya waTanzania wazalendo, watajitokeza kupiga kura kwa hiyari yao na kutumia haki yao ya msingi kikatiba bila mbambaba yoyote
kwahiyo umeanza kunichukia?Hamna watanzania tumewakataa na mbaya zaidi mpk wanachama wenu hawawataki..!!
Hamna kipindi veggies hampendwi km ss hivi mjitafakari sana..!!