mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Mtu mwenye akili timamu hawezi poteza muda kukaa foleni eti akapige kuraHamna watanzania tumewakataa na mbaya zaidi mpk wanachama wenu hawawataki..!!
Hamna kipindi veggies hampendwi km ss hivi mjitafakari sana..!!
Huyu mwenyewe sjui alinitia nia wapi wajumbe wakamfyeka 😄
Mwanangu
Ova