Mtu mwenye akili timamu hawezi poteza muda kukaa foleni eti akapige kuraHamna watanzania tumewakataa na mbaya zaidi mpk wanachama wenu hawawataki..!!
Hamna kipindi veggies hampendwi km ss hivi mjitafakari sana..!!
Kura fake zilishapigwa kitambo snMwaka huu watu watepewa pesa na kubembelezwa kwenda vituoni kupiga kura..!!
Ushiriki wa wapiga kura utawaumbua..!!Kura fake zilishapigwa kitambo sn
Msimbati hawajawahi kutuangushaHali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
πΉπΉπΉMtu mwenye akili timamu hawezi poteza muda kukaa foleni eti akapige kura
Huyu mwenyewe sjui alinitia nia wapi wajumbe wakamfyeka π
Mwanangu
Ova
Unakumbuka ishu ya gesi ya Mtwara na yule bibi wa MSIMBATI? Ndio huku sasa!π wana misimamo acha kabisaHii ni Msimbati "N'twara" na sio Msimbazi...
Hata wanavyoongea tu unasikia lafudhi ya kimakonde...
Hawa wataishia kupiga debe na kuwalamba viatuπΉπΉπΉ
Alijua wajumbe matraco yake π€£
Safari hii kazi wanayo..!!
Walikuwa wanataka kufanya uchafuzi ili waingize kura zao feki lakini haiwezekani tenaπ€£π€£π€£π€£Ile tume fake ya uchaguzi tayari inajua mshindi ni nani
Aibu kubwa snWalikuwa wanataka kufanya uchafuzi ili waingize kura zao feki lakini haiwezekani tenaπ€£π€£π€£π€£
Kwani CCM huwa wanaona aibu?Ushiriki wa wapiga kura utawaumbua..!!
Ccm hatuna aibu πUshiriki wa wapiga kura utawaumbua..!!
πΉπΉπΉ Ila veggies wanaboa sana..!!Ccm hatuna aibu π
Kuna kata hakukua na wapiga kura kabisa polisi walikua wanashinda wanakula karanga tu kituoni ila mwenyekiti alishinda kwa kura elf mbili ππππ
So point yako nini????Hii ni Msimbati "N'twara" na sio Msimbazi...
Hata wanavyoongea tu unasikia lafudhi ya kimakonde...
Chama cha wahuni. Uhuni kila kona. What a shame.Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Eti bwana. Kina singasinga walishachanga MABILIONI yao juzi pale mlimani City ili wamnunue Samia na ikulu halafu hawa wanasemaje?Siasa sio kila tunachotaka au Mgombea unayemtaka ndio apite. Kama wanamtaka yeye basi waanzishe chama chao tuone kama na wao hawatagombana!
Ndio watupe na wachome live liveHali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.