Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Nakulilia warumi,nimeshindwa kukusahau maana sioni wa kuziba pengo lako,mbea mimi nateseka!
 
Ulikuwa wapi jamani?Mie binamu hadi leo sijazoea nikiona nyuzi kama hizi huzuni inatanda zaidi.
Nlikua buzzy na majukumu nje ya JF, ila now nipo hapa sana.
 
Kajala na harmonize wakaachana km ulivosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…