mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekua anacopy asingeanza kwa kusema, warumi leo nafukutwa na umbea....Ninahisi alikuwa anakopi na kupesti bila kuedit
Nitafute siku nyingine leo niache basi.
SawaNyie ishieni hapo hapo! Marehemu huwa hasemwi
Umejaribu sana kutu provoke leo
but you are too low.
R.I.PKwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly, I’m loving this new couple ya mjini, Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya P-Funk Majani
Usimtukane marehemu kwa vile hawezi kukujibu. Nimekupa ushahidi kuwa Warumi alijitambulisha kuwa ni dada. Kama ulikuwa unajua anadanganya, ungemwambia wakati ana uwezo wakujibu.
Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Usiyoyajua kuhusu Warumi
Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?www.jamiiforums.com
Kwanini?Kwa hiyo alikuwa dume-jike?
Kwanini?
Hivi mnakwama wapi?Hata mimi nimeshtuka kwakweli jana nimesoma mwanaume wa miaka 29. Leo naona kwenye uzi wake anasema dada wa miaka 43. Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kwenye safari yake pamoja na sisi
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mbona kwenye hiyo comment hapo juu anasema yeye ni mdada wa miaka 43. Au nimesoma vibaya?!Tunapita kweli duniani. Sijawai kumuona huyu mtu ila roho imeniuma aisee. Na nlikua najua ni mdada siku zote kumbe kaka. Pumzika salama kaka.