Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Marehemu Warumi alikiri kwa kinywa chake kuwa ni dada lakini baada ya kufa, kuna watu wanalazimisha awe mwanaume!! amu Hornet. Jamani tuache kuwadhalilisha watu baada ya kuondoka kwao.

Hata mimi nimeshtuka kwakweli jana nimesoma mwanaume wa miaka 29. Leo naona kwenye uzi wake anasema dada wa miaka 43. Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kwenye safari yake pamoja na sisi


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
R.I.P
 
Usimtukane marehemu kwa vile hawezi kukujibu. Nimekupa ushahidi kuwa Warumi alijitambulisha kuwa ni dada. Kama ulikuwa unajua anadanganya, ungemwambia wakati ana uwezo wakujibu.
 
In my view aliepo gar atupe mrejesho yawezekana tumepigwa changalamacho hapo ili tuchangie rambirambi mjinga mmoja akapige serengeti lite ya baridi maana naona marehemu mwenyewe alikuwa mswahili mswahili anaweza hata kutuigizia humu AKAJA NA IG mpya
 
R.i.p.

Samahani jamani alikuwa mwanamke au mwanaume.
 
Hata mimi nimeshtuka kwakweli jana nimesoma mwanaume wa miaka 29. Leo naona kwenye uzi wake anasema dada wa miaka 43. Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kwenye safari yake pamoja na sisi


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hivi mnakwama wapi?

Ids mnazotumia ni majina yenu halisi?

Mbona rahisi tu, kila social media handle ina tabia ,mtazamo, falsafa ,style ya uandiahi na identity inayotaka kutambulika nayo.

warumi alichagua identity ya kike kama anavyofanya Joti na wengine.
Ili kufikisha ujumbe alitaka kwa Id yake.

Hebu imagine aina ile ya uandishi angejitambulisha kama mwanaume ?
Ndo sababu wengine walimwita shoga wakati fulani.

He was a man, kujiita dada ilikuwa ndo identity aliyochagua ili iendane na style ya uandishi wake.

Ni ufafanuzi rahisi sana ukielewa maana ya FAKE ID.
"FAKE IDENTITY"
 
Kuna umbea wa birthday ya bob risky, kuna msiba wa baba yake Tiwa savage, yaani msiba wanatunzana madolari hatariiiii na live band msiba huo ni zaidi ya sherehe ya Krish wa Uwoya.
Tupo doro hatariiiii hapo ndo tunapokukumbuka binamu warumi
 
Tunapita kweli duniani. Sijawai kumuona huyu mtu ila roho imeniuma aisee. Na nlikua najua ni mdada siku zote kumbe kaka. Pumzika salama kaka.
Mbona kwenye hiyo comment hapo juu anasema yeye ni mdada wa miaka 43. Au nimesoma vibaya?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…