Warumi: Natangaza nia ya kugombea ubunge

Ha ha ha!
Kih kih mi sikupi kura yangu.Jukwaa kitadoda asilani.
 
Mwenzio amejulikana ana kuwa kibaha halafu anadanganya yupo Singida....duh insta kumekucha kwa who iz thee boss. Eti yupo guest sijui inaitwaje mmmh imetajwa kuwa tayari nawe kupekuliwa kila ufanyalo, tupe basi jina lako kamili la kweli tuanze kukupaisha mapema? Na hivi haupendi waTanzania wanamuziki nitakupamba kwa raha zako. Lol
 
Wambea oyeeeee, mkinichagua nitawapa offer wambea wenzangu ya kutembelea bungeni kila mwisho wa mwezii, vote for warumi

Usisahau kutubembelezea na posho za mafuta....Dom mbali ati
 
Haaaaa we binamu mbavu zangu... Eti ameku davido

Mie kura yangu unayo.. Siku ya kuapishwa wambea wotee Dodoma,

Umeona eeeh? AHhaha, mwaka wa matumaini kwa wambea wote

Matumbo kani davido hadharani sina hamu nae kwa kweli, alishindwa ata kuja pm? Nikipata ubunge lazima nim dr ulimboka matumbo, ivi anaujua msitu wa mabopande?? Ntamuonyesha, hawez kuniainisha mbunge hadharan
 

Haaaa Mbunge mtarajiwa umehujumiwa...
Tena hadharani haaaaaa

Safari ya matumaini kwa wambea inaanza October
 
Haaaa Mbunge mtarajiwa umehujumiwa...
Tena hadharani haaaaaa

Safari ya matumaini kwa wambea inaanza October

Mkinichague nitawaamuru ma mods waachie matusi hadharani hamna kupewa ban mtu
 
Mhhh warumi huyuhuyu mmbea???wenzako wana reference mjini hapa na wewe unayo hadi ugombee?? Na wewe ni mtoto Wa balozi? Ni mtoto Wa raisi mstaafu? Ni mjukuu wa karume??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…