The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Kwani viti maalumu vipoje? VIna miguu sita au? NIelekeze mie mgeni
Vile ni kwa ajili ya mabeibe binamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani viti maalumu vipoje? VIna miguu sita au? NIelekeze mie mgeni
Wambea oyeeeee, mkinichagua nitawapa offer wambea wenzangu ya kutembelea bungeni kila mwisho wa mwezii, vote for warumi
Jamani matumbo ameni davido hadharani looh, au sio matumbo binamu huyu
Haaaaa we binamu mbavu zangu... Eti ameku davido
Mie kura yangu unayo.. Siku ya kuapishwa wambea wotee Dodoma,
Umeona eeeh? AHhaha, mwaka wa matumaini kwa wambea wote
Matumbo kani davido hadharani sina hamu nae kwa kweli, alishindwa ata kuja pm? Nikipata ubunge lazima nim dr ulimboka matumbo, ivi anaujua msitu wa mabopande?? Ntamuonyesha, hawez kuniainisha mbunge hadharan
Mambo ya cyber bullying tupa kule
I'd yako naniii pale juu