Warumi: Natangaza nia ya kugombea ubunge

Nimeona mtangaza nia akihojiwa na ana uhakika wa kuingia bungeni(Mama ubaya)
Amesema atashinda na kila kitu kipo sawa
 
Hebu nivute picha siku ya kwanza tu unaanza kuchangia:
warumi "Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa gazeti la Risasi la leo, huyu Diamond huyu inafaa anyang'wanye tuzo ya Icon of The Nati... "
Wabunge Mafyatu: "Haaaaaahaaaaaa, Risasi ndo nini wewe... unadhani tupo Instagram hapa! Hayo mambo yenu ya Facebook huko huko" warumi: "Mheshimiwa Spika nilinde, hizi sasa kashfa....!" Mara hee---
Wema Sepetu (na kasauti kake kale) huyu hapa"Yes Madam Speaker, inabidi um-protect mtoa hoja, this guy Diamond has no shame at all, he was my husband na kama si mimi, asingefika pale, trust me but above all, akaniacha na kwenda kwa a Ugandan Prosti....!
Moses Machali: Kaa chini wewe, hawa magamba sijui wametuletea watu gani humu bungeni! warumi: Basi Mheshimiwa Spika ka mambo yenyewe ndo haya, sichangii tena, nshasusa!

mnh!!
 
Ahhh, muheshimiwa warumi katika ubora wake
 

Hahaaaaa

Jf raha sanaaaa😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…