Warumi: Natangaza nia ya kugombea ubunge

Warumi: Natangaza nia ya kugombea ubunge

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wambea wenzangu, huu ni wakati wa kupata mwakilishi mbea Bungeni ili kutetea haki zote za wambea nchini, ikiwemo kuikomesha katiba ya Cyber bullying iliyotangazwa ivi karibuni.

Nawaomba wambea wote wa jamii forum,instagram na magazeti yote ya udaku mnipigie kura ili mpate mtetezi bora kwenye kazi zenu za udaku, tarehe 27 naenda kuchukua fomu, so team warumi msiniangushe.

Please Dinazarde Heaven on Earth chige Evelyn Salt Matola matumbo Money Stunna Mrembo by Nature mzurimie TATIANA Ms.Lincoln Madame B na wadau wote wa ubuyu nchini.
 
Tumegoma hatukupigii kuraaa tutapigia mwinginee sio wewee nfyuuuuu kajambe mbeleee
 
Pliz warumi usirudie kunimention kwenye thread yako yoyote tena.
 
Wewe ni chama jamii forum au ni mwanahalisi forum?
Kama ni mwachama wa jamii kura yangu umepata.
 
Viti maalumu kama Wema au samahani lkn kama kutakua na makosa ya kijinsia kwenye swali langu..
 
hhhhhhaaaaaaa,

Ahahah huyo ni matumbo kweli au? EEH maana sio kunishushua uko, huo udavido siku izi kauanzia wapi? Aahahah, nipigie kura binamu shaur zako na wewe unavyopenda umbea utafungwa soon, nipigien niwatetee
 
Pliz warumi usirudie kunimention kwenye thread yako yoyote tena.

Wewe ni matumbo binamu au? Yani unanidovido hadharani ivi? Nimeku mind, na utaona kama utafunguliwa hyo ban yako, mpaka uniombe msamaha
 
Back
Top Bottom