I always love what you doni nyingi ila kwa haraka ni ubuyu wa odama wa bongo movie, ilikua na comments nyingi sana, na nyingine ni ya juzi kuhusu arobaini ya nillan, hizo ni baadhi tu ya thread zilizovunja rekodi kwangu, japokua naamini zipo nyingi sana kule celebrities forum.
Ooh Kumbe ni TANGA.. Ngoja tuendelee kutiki ntakuja na verdict siku mojaTanga
Ni kweli, nadhani kiba sio mwingi wa habari sana tofauti na mastaa wengine, pia wateja wangu hawavutiwi na habari zake kama mastaa wengine, hii ni kwa sababu jamaa hana scandal chafu na watu wanapenda kusikia habari mbaya za mastaa kuliko kazi zaoI always love what you do
Na pia kwa nini huwa una onekana kama huwa huposti sana habari za Ali kiba, ni kwamba huwa hana story zozote zile?
kuhusu? itoe hapa,lolOoh Kumbe ni TANGA.. Ngoja tuendelee kutiki ntakuja na verdict siku moja
Kweli kabisa, ni vile sijapata uhakika wa usalama wa account yangu kama sitaweza kukamatwa ndio maana nikaiacha, pia nilikua natishwa sanaKwanini uliikimbia page yako ya kihongwe kule insta?Ni kweli watu walikujua wakakutishia?Saa hizi ungekuwa na followers japo 1m upige pesa za matangazo
Akina nani walikutishia?Kweli kabisa, ni vile sijapata uhakika wa usalama wa account yangu kama sitaweza kukamatwa ndio maana nikaiacha, pia nilikua natishwa sana
kupoteza tu mawazo n kujifuraishaUnapata faida gani mjini kufanya umbeya?
ki usalama sio vyema kutaja humuNilipenda kujua jina lako halisi