Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ulipotelea wapi mama? Au ndio martenity!!Kiba ni hatareeeee[emoji91] [emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipotelea wapi mama? Au ndio martenity!!Kiba ni hatareeeee[emoji91] [emoji91]
Mwenzangu maisha magumu sana tu ndio yananipotezaUlipotelea wapi mama? Au ndio martenity!!
HahahaaUnampenda Kiba, usingemtaja ningeshangaa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mtani umepaka nini mdomoni?Ulipotelea wapi mama? Au ndio martenity!!
Nilikula achikilimu.mtani umepaka nini mdomoni?
Umezaa?A month a go
Unapenda kuolewa na mwanamme mwenye sifa zipi?Sina mtoto
Hebu tupe uzoefu wako kwenye jambo hili.A month a go
hapana
Nakukubali sana binamu... tumetoka mbali najua unajua haaaaaaa
Una nahusiano yoyote na sudy brown?Haya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na ushauri, haya sasa uwanja.
Note: Suala la jinsia yangu sitalijibu leo.
binamuu...kumbe ndo maana waongea sanaTanga