Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Binamu...
Mi nakupenda sana napendaga sana udaku unaoleta hapa, tunacheka, tunafurahia na muda unaenda.
Swali langu mwanajf usiempenda kuliko wote ni nani, kwanini? Na nani unampenda zaidi
Mpendwa unaonaje tukimpa Warumi uMod..Awe anatuletea ubuyu mubashara kutoka pm za watu..Halafu ntamuomba aanze na yako..Teh teh
 
Saasa, mi nakuuliza, hivi ushawahi kuliwa ndogo,!? Na unapoliwa ndogo huwa inanyekeeta au unasikia utamu ndo maana we huachi,?
 
Nadhani kwa sbabu nafahamiana na baadhi ya mastaa au watu waliokaribu na mastaa so inakua rahisi kupata ubuyu,pia kuwa karibu na mitandao ya kijamii na kufuatilia habari za mastaa.

Umbea haufundishwi, unatakiwa upende kwanza lol, ila ubunifu muhimu, kuongezw chumvi muhimu
" Umbea haufundishwi inatakiwa upende kwanza lol "

" We hatari sana [emoji23]
 
Back
Top Bottom