Warumi

Kumbe Warumi ni kamama[emoji134][emoji134][emoji134]
 
WASHASEMA hukoooo mbona! kwenye thread nyingine nafkiri!
nikawamabia warumi haandiki hivi!
mi sauti ya warumi kwenye maandishi naijua!

Ahahah yeah kuna watu wanajua kabisa muandiko wangu ata nikija na ID Mpya ila wanajua tu huyu warumi , I’m that unique yan [emoji23]
 
Ahahaah Kwan avatar ina nini binamu [emoji23][emoji23]
Nimeizoea halafu i am a biggest fun of Osita Iheme so nikionaga thread zako huwa nazisoma kwa sauti ya Osita Iheme. Nakukubali sana Binamu
 
Warumi ni mtu mzima ila ni anatusaidia sana .
Kwa umbeya motomoto na za nyakati.
Warumi ni mtu muhimu sana humu .
Tukimkosa mtu kama warumi sijui tutampata wapi tena .
Je wangapi wanakubaliana na hii hoja??
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…