Warumi

Ooh jaman najisikia kulia binamu , Ahsante sana yani , na nitaendelea kuwapa burudan ya aina yake , warumi miaka mia , watakuja ila mimi Ndo Jasir muongoza umbea[emoji23][emoji23]
Ndio umesepa kweli mazima!!?
au watu wanatuchezea akili!
 
Jamani mbona sielewi elewi, warumi hatunaye? Ina maana kuna watu walikuwa wanafahamiana naye humu?
 
Warumi ni mtu mzima ila ni anatusaidia sana .
Kwa umbeya motomoto na za nyakati.
Warumi ni mtu muhimu sana humu .
Tukimkosa mtu kama warumi sijui tutampata wapi tena .
Je wangapi wanakubaliana na hii hoja??
Hatimae maneno yako yametimia.
 
Kwa warumi nilisema tu kwa maana kuna wakati mtu anaghairi kutumia jamii forum au mtu yupo busy na mambo yake kuingia muda wote humu hawezi ila sijajua kama kweli nilichoongea kimetimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…